Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,564
Kwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi?
Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya tofauti na miaka iliyopita zaidi tu ya kusikia madudu zaidi safari hii.