GE2025 Dkt. Mwinyi: CCM ndio wahubiri wazuri wa amani

GE2025 Dkt. Mwinyi: CCM ndio wahubiri wazuri wa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,360
Reaction score
18,644
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya chama hicho itahakikisha inaendelea kulinda amani, umoja na maridhiano akieleza kuwa mambo hayo ndio msingi wa maeneondeleo yote nchini.

Soma > Rasmi Dkt. Mwinyi achukua fomu ya Kugombea Urais Ofisi za ZEC

Dkt. Mwinyi ametoa ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 17, 2025 katika kampeni za chama hicho kwa Mkoa wa Kusini Unguja akiongeza kuwa CCM wamekuwa ni wahubiri wazuri wa amani hivyo wakipata ridhaa wataendeleza jambo hilo kwa kuwa lina manufaa makubwa katika kuleta maendeleo nchini.

1758126009503.png
 
Kule Dar mahakamani polisi wao wanahubiri amani kwa kupiga hata mawakili maeneo yao ya kazi?
 
Ni kweli ccm ndo wanahubiri amani adi kwa virungu hata kama inawaonea, mnakula virungu huku mkitakiwa kukaa kimya wanafisadi nchi muwe kimya kwa amani ila HAKI aaaahh.
 
Back
Top Bottom