Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Hii ya TANGANYIKA
Na hii ya TANU
Naona watu wanazichanganya sana!
Na hii ya TANU
Naona watu wanazichanganya sana!
Binafsi nafahamu kuwa Tanganyika ilikuwa ni nchi kabla haijaungana na nchi ya Zanzibar na ilipata uhuru wake tarehe 9/12/1961.
Wana jamvi nawakumbusha wale wote wenye kuipenda historia ya kweli kesho tubebe bendera yetu ya Tanganyika maana hatujawahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania Bara!!!! ZumbeMkuu, ulishashona vazi lako? Pls tuikumbushe jamii yetu na watoto wetu ili vizazi vijavyo viikumbe Tanganyika kwa kumaanisha na sio kubabaisha! Happy Birthday Tanganyika!
Right, hakuna nchi katika ramani ya dunia inayoitwa Tanzania bara, ujinga!!!! Nitabeba bendera ya Tanganyika au nitakwenda kulima, sina cha kusherehekea, maana hakuna Tanzania bara duniani. Tanganyika waliiua, sasa wanasherehekea nini. Stupid!!!!!!!!!!!!!
Wakuu hizo bendera za tanganyika zinapatikana vipi? Kuna watu wanazitengeneza? Au mchungaji mtikila atazi supply? Tujuze jinsi ya kuzipata hizo bendera za tanganyika
hapa kwa karibu namkumbuka ndugu yangu mtikila alivyokuwa anapigania uhuru wa tanganyika
Bendera yetu hii hapa, Nimeanza kuimiss Tanganyika yetuView attachment 42922