Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba miongoni mwa malengo yaliyopo kwenye mkakati wa utekelezaji ni pamoja na kutengeneza umeme wa upepo ambao...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali...
Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine...
Ndugu mama Samia.
Umetufungia JF tusiiaccess ndani ya Tanzania, lakini tutakueleza ukweli na utakufikia.
Iko hivi mama yangu, ndani ya nchi yetu kuna vilio kila kona, watu hawaridhiki na nchi...
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza...
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais...
Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia...
Wakuu, Crown wamemtoa wapi huyu mwanadda? au ndio makada hawa na hatujui?
Soma pia: Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii
Ukiangalia kwa makini ,wagombea wa nafasi za urais ambao angalau angalau wanasikika tena kwa mbali sana ni Luhaga Mpina na Salum Mwalimu.
Mpina amepigwa pini kugombea, na mwanachama mwenzake pia...
Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu...
Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa...
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024...
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Mjini, Alhaj Omar Shamba, amefariki dunia ghafla Septemba 22, 2025 akiwa nyumbani kwake
Alhaj Shamba aliwahi kuhudumu kama...
ADHABU YA UHAINI TANZANIA SIO LAZIMA KIFO.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama kuu na ya Rufaa zinasema kuwa popote katika sheria ambapo limetumika neno "SHALL BE LIABLE ON CONVICTION...
Wakuu tuliwekaje hili jambo kwanza kwa hawa wazee ambao walikuwa wanatazama tu nchi ikiwa inapigwa mnada? Tupite nao tu au tuwasamehe sisi tukomae na hayo mabeberu na hawa wazee wa ufafanuzi?
Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi...
Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na...