Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kada wa chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa, Suleiman Bungara amemtaka katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ajiuzulu nafasi yake katika chama kama baada ya...
3 Reactions
3 Replies
324 Views
Kwa muda mrefu kumekuwepo taarifa kwamba baadhi ya viongozi wa serikali huwekewa sumu (poison) kwenye vyakula na vinywaji vyao. Ingawa mara nyingine huonekana kama tetesi, ukweli ni kwamba vitendo...
1 Reactions
10 Replies
400 Views
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki. Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina...
6 Reactions
71 Replies
10K Views
Nataka niongee kama mwananchi mkazi wa jimbo la KAWE bila kuingiza chembe hata moja ya itikadi au kugusa maslahi ya mtu binafsi. Nataka nizungumze ukweli mtupu kulingana na matendo ya huyu bwana...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mgombea Udiwani wa Kata ya Mwendakulima, iliyopo katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaban Mikongoti, amewaahidi vijana wa kata hiyo kunufaika na mikopo...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa kata ya Lugelele, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Mgombea Udiwani wa Kata hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ameahidi...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
GT Ona maajabu ya Tanzagiza endeleeleni kulala.. NRNE
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Anaandika Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi...
8 Reactions
23 Replies
686 Views
Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera, limesema haliko tayari kuruhusu baadhi ya watu wasiopenda amani kuruvuga uchaguzi mkuu, na kuwaonya wenye nia hiyo kuacha mara moja, kwani watakamatwa na...
1 Reactions
17 Replies
694 Views
Karibia wiki mbili sasa, muzee wa Mutandawo kaamua kula kobis. Kajiambia isiwe taabu, mi naenda zangu Msoga kupumzika maana huko chamani unafiki umezidi! Kila baya narushiwa mimi, Mara oooh...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini cuba amesema kuna siku ilibaki kidogo tu wachamane au wapigane ikulu kutokana na hali ya uzembe ya baadhi ya watumishi wenzake. My take: kama hadi watumishi...
4 Reactions
6 Replies
442 Views
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Wakuu Viongozi mbalimbali wameendelea kutuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa. Kupitia ukurasa wake wa X, Luhaga Mpina amesifu namna...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani? Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya...
10 Reactions
69 Replies
3K Views
Mgombea udiwani wa Viti Maalum Tarafa ya Emboreet, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, Rehema Naaman (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kudaiwa kuugua homa ya mapafu. Mgombea huyo wa udiwani...
1 Reactions
9 Replies
502 Views
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini. Akizungumza leo...
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Hampfrey Polepole juzi katika taarifa yake ya mwisho aliongelea jeshi la polisi wanavyomhitaji kufika ofisi ya DCI kwa ajiri ya kutoa maelezo juu ya...
2 Reactions
6 Replies
483 Views
CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa. "Watu wameng'ang'ania...
0 Reactions
3 Replies
241 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…