PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 454
- 630
Kada wa chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa, Suleiman Bungara amemtaka katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ajiuzulu nafasi yake katika chama kama baada ya chama hicho kukosa mgombea wa Urais kwa kwa vipindi viwili mfululkizo ambapo yeye mwenye ameita ni uzembe wa viongozi.