Mgombea wa ACT-Wazalendo Jimbo la Nanyumbu, Hamad Hashimu ametangaza rasmi kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa CCM, Nanyumbu mkoani Mtwara.
Kada wa ACT- Wazalendo Monalisa Ndala, amesema aweza kufika ofisi za chama za mkoa wa Dar lakini sio makao makuu. Kwa hali ilivyo sasa huwezi kujua watu wana hasira na mimi kwa kiasi gani,” Ndala...
Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitangiri wilayani Ilemela jijini Mwanza Donnard Ndaro na kukatwa kwenye mchakato wa kutetea nafasi yake kupitia chama cha mapinduzi CCM ambae kwa hivi sasa anatetea...
Umasikini tulionao ni wakujitakia
------------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chma cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema chama chake kitalinda wafanyabiashara...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura wakati wa kampeni yake ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kwenye kata ya Businde jimboni hapo, mkoani...
Shamra shamra za kampeni za Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida zimeendelea kupamba moto, ambapo maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kusikiliza sera na ahadi...
Magufuli hakuwa na uswahiba sana na wapinzani, Akiwashutumu kutumika na mabeberu na kucheleweshwa katika kazi zake, Hadi aliapa kufikia mwaka 2020 atakua ameua upinzani Tanzania.
Imefika mwaka...
Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda mpaka kufikia ukombozi kamili. Sasa hivi nimeanza kuelewa kwanini Mwalimu Julius Nyerere alikuwa anapambana sana Watanzania tuondokane na ujinga.
Ona leo hii...
Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli...
Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya...
Maombi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na uzima lilichini ya Askofu Gwajima, kama yameanza kujibiwa na Mungu walikuwa wanamlilia tangu kanisa hilo lifungiwe.
===============
Nuru imeanza kuonekana...
Mgombea urais kupitia Chama Cha Sauti ya Umma Mh. Majalio Kyara amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kushika nafasi hiyo atahakikisha anafungua fursa ya soko la mbaazi kwenye mikoa ambayo...
Nakwenda kuwa msemaji wa Wana Segerea kuhusu changamoto zao"-Agness Kaiza - Mgombea ubunge jimbo la segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA).
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji wa...
Wazee wangu nawaona huruma hivi. Pesheni vipi? au ndio mmeshalambisha asali
================
Baraza la Wazee wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, limetoa tamko rasmi likionesha uungwaji mkono...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kujengwa kwa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Mkoani Ruvuma-...
Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea...
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani...
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema, "Kama nitashindwa kuleta barabara hapa Ujiji, 2030 nikitokea mbele yenu...