Ni suala la muda mfupi tu hata hawa wanaomtesa Tundu Lissu kama vile Lissu ametia sumu kwenye ziwa Victoria ili watu wote wanaokunywa maji ya ziwa hilo wafe watakuwa upande wake baada ya kuona...
Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma.
Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa...
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na...
Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie
===...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Kupigana wenyewe kwa wenyewe kunavunja umoja wa kitaifa, kunaua uzalendo na kuzalisha uasi.
Usalama wa taifa na vyombo vyote vya dola mnaowajibu wa kulinda maisha ya watu wote nchini kwa HAKI...
My Take
Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu.
Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati...
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa...
Anachotetea Tundu Lissu kina umuhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Uongozi ni kitu kinachofanyika kwa referal na sheria za nchi zinafanyika kwa referal. Magufuli ndiyo Rais wa kwanza Tanzania...
Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini...
Wanabodi,
Anza na hii clip https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=9RxFyI43cF6ff0og
Kufanya kosa, sii kosa, kosa kurudia kosa, nchi yetu ya Tanzania, tuko hapa tulipo, kwasababu tumefanya makosa mengi...
Wakuu!
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi...
Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa.
Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza...
To the point.
Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa...
Akizungumza leo kwenye mkutano wake na vyombo vya habari, John Mrema amesema:
"Leo kama ukikosolewa ndani ya chama unawaza kufukuza wanachama wako, tena watiania wabunge waliofanya chama hiki...
Kufuatia tuhuma nzito za ufisadi alizoibua Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amewapeleka Gambo pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.