Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,985
- 8,219
Wakuu,
Wananchi wa toka sehemu mbalimbali wameonyesha kufurahishwa na mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Samia jinsi anavyojitoa kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao pindi wanapokubwa na kero mbalimbali katika sehemu zao za kazi.
Au wanasema uongo Wakuu, yaani wanasema Samia ndio mkombozi wao.

Umasikini ni mbaya sana aisee! Tujitahidi kuwa madoni ndugu zetu wasionekanewakituaibisha kama hivi.