Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. amekanusha na kutolea ufafanuzi taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kuwa warsha ya...
Kwa jiografia ya Mwanza, mji huu una njia kuu mbili za kutoka katikati ya jiji na kuliunganisha jiji la Mwanza na mikoa jirani, yaani kwa kifupi hizi njia mbili zikipata hitilafu, mji hauingiliki...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza Zanzibar kwa miaka mitano ijayo atahakikisha...
Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya...
Walimu wametakiwa kuzingatia sheria na taratibu za utumishi wa umma na kuacha kujihusisha na masuala ya siasa kinyume cha miongozo, vinginevyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
Kauli...
Katika nchi yoyote ile Duniani khasa kwenye miji yake mikubwa ni lazima kuwepo na mifumo imara na madhubuti ya usafiri na usafirishaji. Mifumo bora ya usafiri (transport system) inapokosa...
Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana.
Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote.
Uchaguzi wa mwaka...
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover...
Kuna hesabu za kiroho hapa
Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere...
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
“Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa...
BALOZI mbalimbali zipo hapa.
Majasusi wapo hapa .
Kwamba UN kutoa Report juu ya Kinachoendelea Tanzania, Kwa akili ya Msigwa na Genge lake ni kua UN imekaa na kuja na repoti ya Kusadikika ...
Unapochagua kusuka, hakikisha unaujua vyema mtindo utakaosuka, vile vile na kunyoa,
Nilipowapa ushauri wa nini Cha kufanya waliniona hamnazo, huku wakifikiri ni mjinga wao mmoja,
Leo kinawatokea...
Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata...
Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.
Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?
Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuunda serikali, ataweka kipaumbele katika ujenzi...
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya...
Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba, Dar es Salaam Ernest Mgawe anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikielezwa kuwa anatuhumiwa kutenda makosa mawili (2) ambayo...
Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la...