GE2025 Nini hatima ya Tanganyika baada ya 2025 kama uchaguzi utafanyika?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,693
Reaction score
870,411
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za ubunge.. Lakini kwa kilichoonekana wazi haikuwa mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge bali ilikuwa ni mnada wa nafasi za ubunge..
Figisu, rushwa na vimemo vilitembea Sana.. Sasa hao ndio wataunda bunge na,serikali (wabunge na mawaziri).. Hayo baadhi ya majina ya wateuliwa... Mungu atusaidie sana sana.. Maana baada ya uchaguzi
1. Mpasuko ndani ya ccm utakuwa mara dufu.. Fitina zitatembezwa mno
2. Upinzani(CDM) utapata rafiki mwenza toka. com.. Yaani kutakuwa na wapinzani wawili CHADEMA na upinzani ndani ya ccm
3. Pesa itatoweka
4. Utekaji nk vitaongezeka
5.Deni la taifa litaongezeka
6. Usalama wa raia utakuwa shakani zaidi
7. Rasilimali zitazidi kupewa...
8.. Katiba itabadilishwa muda wa kukaa madarakani uongezwe
9. Uchumi utaparaganyika
10. Mabadiliko yasiyotarajiwa
Kuna mengi nashindwa kuendelea...yatatokea....
Mungu ibariki Tanganyika❗
 
Nadhani tutashuhudia serikali kandamizi ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru
 
Tunakoelekea hata mimi naliona giza. Kuna mambo hayataenda sawa hasa hasa ndani ya chama
 
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za ubunge.. Lakini kwa kilichoonekana wazi haikuwa mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge bali ilikuwa ni mnada wa nafasi za ubunge..
Figisu, rushwa na vimemo vilitembea Sana.. Sasa hao ndio wataunda bunge na,serikali (wabunge na mawaziri).. Hayo baadhi ya majina ya wateuliwa... Mungu atusaidie sana sana.. Maana baada ya uchaguzi
1. Mpasuko ndani ya ccm utakuwa mara dufu.. Fitina zitatembezwa mno
2. Upinzani(CDM) utapata rafiki mwenza toka. com.. Yaani kutakuwa na wapinzani wawili CHADEMA na upinzani ndani ya ccm
3. Pesa itatoweka
4. Utekaji nk vitaongezeka
5.Deni la taifa litaongezeka
6. Usalama wa raia utakuwa shakani zaidi
7. Rasilimali zitazidi kupewa...
8.. Katiba itabadilishwa muda wa kukaa madarakani uongezwe
9. Uchumi utaparaganyika
10. Mabadiliko yasiyotarajiwa
Kuna mengi nashindwa kuendelea...yatatokea....
Mungu ibariki Tanganyika❗View attachment 3404190View attachment 3404190
Kuipigwa mnada
 
Jambo la msingi wamemuondoa Gambo hilo tu linafanya weekend yangu iende vizuri kwakuwa alifanya jambo baya Sana dhidi ya Lema wanaobaki watajua wenyewe
 
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za ubunge.. Lakini kwa kilichoonekana wazi haikuwa mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge bali ilikuwa ni mnada wa nafasi za ubunge..
Figisu, rushwa na vimemo vilitembea Sana.. Sasa hao ndio wataunda bunge na,serikali (wabunge na mawaziri).. Hayo baadhi ya majina ya wateuliwa... Mungu atusaidie sana sana.. Maana baada ya uchaguzi
1. Mpasuko ndani ya ccm utakuwa mara dufu.. Fitina zitatembezwa mno
2. Upinzani(CDM) utapata rafiki mwenza toka. com.. Yaani kutakuwa na wapinzani wawili CHADEMA na upinzani ndani ya ccm
3. Pesa itatoweka
4. Utekaji nk vitaongezeka
5.Deni la taifa litaongezeka
6. Usalama wa raia utakuwa shakani zaidi
7. Rasilimali zitazidi kupewa...
8.. Katiba itabadilishwa muda wa kukaa madarakani uongezwe
9. Uchumi utaparaganyika
10. Mabadiliko yasiyotarajiwa
Kuna mengi nashindwa kuendelea...yatatokea....
Mungu ibariki Tanganyika❗View attachment 3404190View attachment 3404190
Tujitenge na zenji na takataka eti muungano ufe
 
Mimi naomba uniruhusu nipate na mawazo ya mbubujikwa machozi.Popote ulipo toa neno kuhush hili andiko.
 
kama utafanyika, hivi mnaamini kabisa kuna uwezekeano uchaguzi usifianyike? CHadema bana
 
Back
Top Bottom