Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya?
"Ningewachambulia hapa ripoti za...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited...
Mawakili wakinyukana kwa vifungu vya sheria, kama kuna kosa la kisheria kutishia au kujaribu kuzuia uchaguzi uliopangwa kwa mujibu wa sheria..?
Pia Soma: Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia...
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%.
Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa...
Kwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa...
Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi.
CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura
Vikao vya...
Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake?
Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu?
Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu?
Ripoti za CAG...
Mgombea Ubunge wa Viti maalumu kupitia Kundi la Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha, Lulu Mwacha amemshukuru Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
Ningependa kujua nini maoni yakeo juu ya kifo cha hiki chama cha kisiasa hapa Tanzania. Unahisi nini kimepelekea kifo chake na je unahisi walikitegemea tayari na walishaanzisha vyama vya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini Costa Kibonde ametoa ahadi ya kugawa boda boda Milioni moja na kuzigawa bure kabisa, lakini lazima wanufaika wapate cheti...
Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini
-----------...
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama...
Hello wakuu INEC najua wapo huku wanatumia VPN zao kuangalia Upepo unaendaje.
Kumekuwa na Tuhuma mbalimbali ambazo zinatolewa Kupitia Mitandao ya kijamii hapa nchini ambazo zinaeleza kuwa Kila...
Mimi ni mkazi wa majiji mawili Tanzania. Dar es salaam na Arusha. Wanangu ambao wote ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapitia matatizo makubwa sana ya usafiri wa kwenda na kutoka...
Jamani nimeitizama hii video ya Jerry Muro hadi machozi yakatoka! Anaonesha kabisa hayupo sawa na anahitaji msaada wa haraka mnoo
Video inamuonyesha akiwa kwenye mkutano wa kampeni ya mgombea...
Kumbe saini nayo ni kitu cha kuringia :FeelsWeirdMan:
---------------
Mkali wa Muziki wa Zenji Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Mabawa amesema tukio la kupata saini ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kushawishika na watu wenye nia ovu kuharibu amani ya nchi, kwani wanaofanya hivyo wanapo pakukimbilia
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema linawashikilia watu watatu kwa mahojiano, kufuatia tukio la kushambulia usafiri wa mwendokasi.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa...