GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pindi maisha ya Watanzania yakikosa unafuu katika nyanja muhimu, yatatokea kama yaliyotokea mwendokasi na vitisho vyao havitasaidia chochote
Kwakweli mimi najiuliza kwani wakitenda mema kufanya ya msingi mbona hakuna lawama inakuaje waone shida kutenda mazuri kwetu ...Roho mbaya gani hii dah.
 
Hawa polisi ndomana wanazaraulika huku kitaa maisha yao ya mangi shop tena Yale ya nalipa nakopa hata supermarket hawazijui lkn wanavokomaa na kutusumbua wananchi aisee ni balaa mi nahisi wamelaaniwa hawa wana 😂
 
Back
Top Bottom