~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini...
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri...
Habari Tanzania !
Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania.
Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo...
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema atamshauri Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Balozi Modest Jonathan Mero, kupunguza...
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameyesema hayo leo Februari 16, 2026 wakati akitoa tathmini ya ziara ya Kikazi ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Zama zetu wakati tunajifunza matumizi ya Lugha ya kiingereza, kuna msemo wengi wetu tuliushika kirahisi na kwa haraka mno. Msemo huo ni "vice versa is true"
Matumizi ya huu msemo yalishika kasi...
Ukiacha maswali juu ya usalama na ufanisi wa kuweka mradi wowote wa kijamii maeneo ya Jangwani, kumekuwa na mkanganyiko juu ya ni mradi gani hasa unajengwa maeneo hayo.
Juzi nimemsikia Samia...
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe...
SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA?
I. USULI
“Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua...
Dunia nzima inajua kuwa Samia ndiye mama w demokrasia nchini; hasa baada ya kuruhusu vyama vingi ku resume kazi zao baada ya kufungiwa na mtangulizi wake, JPM. Kuwarudisha nchini akina Lissu...
Tumezoea viongozi wetu na vyombo vya habari vya Bongo hutoa taarifa pale wanapokutana na viongozi mbalimbali wa kimataifa.
Nimejaribu kutafuta habari ya mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na...
Mwaka 1964 palitokea jaribio la mapinduzi ya kijeshi wana Tanu wanasema lilikuwa ni kama maasi ya wanajeshi wa Tanganyika Rifles.
Chanzo ilikuwa Nyerere hakuwapa vyeo maaskari weusi wa...
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni...
Na. M. M. Mwanakijiji
https://www.youtube.com/watch?v=4mGDNsyA53g
Nilipata nafasi siku hizi mbili tatu kukutana na watu muhimu sana kwenye sakata la mauaji ya Oktoba 29-Novemba... Kitu ambacho...
Kwa hiyo sasa hivi watanganyika wakiwa na shida na Rais wamfate huko kwao zanzibari wakiwa nabarua za utambulisho kutoka Kwa wenyeviti wa mitaa?
Swali jingine, je matumizi ya statehouse ambazo ni...
Daa Tanzania will never be the same again.
Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck...