Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Utekaji na Uuaji Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi? Mnaogopa nini hadi kufikia...
5 Reactions
2 Replies
256 Views
Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano. 1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano. A. Kuna camera B. Damu...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji. Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake...
2 Reactions
3 Replies
464 Views
Baada ya yule aliyejitambulisha kama ‘kapteni’ wa JWTZ kuja na ile video yake, kuna watu humu walikuwa na kila aina za taarifa. Mmoja kati hao watu alikuwa ni mwanaJF mkongwe kwa jina la Msanii...
4 Reactions
15 Replies
573 Views
Humphrey Polepole Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe. Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena. Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu...
11 Reactions
42 Replies
7K Views
Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu. Polepole anaipenda Tanzania. Polepole anaipigania Tanzania. Polepole sio mwizi. Polepole sio mroho wa madaraka...
18 Reactions
14 Replies
649 Views
Ndani ya muda mfupi wa miaka takribani 4, tumewapoteza Polepole na Magufuli kama viongozi wazalendo na wapiganaji hodari wa taifa hili la Tanzania. Lakini nataka kujadili zaidi kuhusu mzalendo...
2 Reactions
7 Replies
394 Views
Twende moja kwa moja kwenye Mada , Kwa jinsi mtanange unavyoendelea timu ya ugenini inaelekea kupata ushindi licha ya kelele nyingi za mashabiki wa timu ya nyumbani . Ni wakati sahihi wa timu ya...
1 Reactions
5 Replies
280 Views
Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya...
1 Reactions
7 Replies
266 Views
SAKATA la Kampuni ya Kagoda iliyokwapua sh bilioni 33 kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), mali ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limechukua sura mpyaa baada ya ofisi ya Mkurugenzi wa...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Yani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko? Hakika dunia tambala bovu
4 Reactions
16 Replies
447 Views
Kila siku nilikuwa nawaza huyu mtu anajua maana ya "UTU" au analiongea tu hilo neno, ndiyo ubaya wa kuzungukwa na MACHAWA Alikuwa na nafasi mzuri kaichezea mwenyewe hana wa kumlaumu. Another...
5 Reactions
12 Replies
434 Views
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Mkoa Geita, Sophia Simwa amelazimika kupiga magoti mbele ya Wananchi wa Kijiji Cha Kageye Katika kata ya Nyachiluluma kuwaombea kura Dkt Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
[Dan4:1]Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu. [Dan4:4]Mimi, Nebukadreza, nalikuwa nikistarehe katika nyumba...
4 Reactions
7 Replies
431 Views
Aliyewahi kuwa Katibu wa CUF Mkoa wa Tanga Abdulrahman Hassan Amesema Chama cha Mapinduzi CCM, ndio chama pekee kinachoweza kuleta maendeleo nchini Tanzania huku akielezea historia yake na Vyama...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Katika nchi yetu kuna chombo kikuu kilichopewa majukumu makuu mawili yaani 1. Kulinda mipaka 2. Kulinda Katiba Katika kutekeleza majukumu hayo chombo hiki hakiwezi kurelegate majukumu yake kwa...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukweli usemwe. Kakamatwa kiduanzi sana. Na hii inanifanya kufikiria kuwa Lengo lake la awali mpaka kupelekea kuachana na Ubalozi lilikuwa lingine na Baadae akapata Lengo lingne na akakosa namna...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Mgombea urais kupitia CAF Gombo Samandito ametema cheche akiwa pale wasafi ni balaa tupu
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…