Wana Mayele wao na sisi tusajili wakwetu

shokoshugi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
333
Reaction score
565
Twende moja kwa moja kwenye Mada , Kwa jinsi mtanange unavyoendelea timu ya ugenini inaelekea kupata ushindi licha ya kelele nyingi za mashabiki wa timu ya nyumbani . Ni wakati sahihi wa timu ya nyumbani kubadili mipango yetu ya kumkabili mgeni.

Wenzetu wana striker force hatari sana (MAYELE) akikabia kwa juu na kufanya mashambulizi makali yanayoleta kizaa zaa golini kwetu. Pia viungo wa timu pinzani ni viungo mahiri haswa hapo hujagusa benchi la ufundi lililojaa wazoefu watupu. Mbinu ya kusubiri kipindi cha pili labda tutasaidiwa na upepo ili kupeleka mashambulizi ina risk kubwa sana ya kufeli endapo hakutakua na upepo.

NINI KIFANYIKE KUPINDUA MATOKEO; Moja ya kiungo wetu wa kutumainiwa akishambulia toka pembeni wamefanikiwa kumpa jeraha la enka , huyu hawezi tena kuendelea na mchezo . Kwakua hatukua na mshambuliaji hatari kama (MAYELE) ni muda sasa wa kua na mayele wetu (TWO CAN PLAY THAT GAME). hima hima najua katika washabiki wetu kuna vipaji vingi sana tuwaunde wakina mayele wetu wapewe mafunzo ya haraka toka benchi la ufundi wapewe nyenzo waingie uanjani wakiwa na jukumu moja tu la kupindua matokeo. Tukisawazisha magoli tuliyofungwa kwa staili ya mayele wao huku tukiwa na mtaji mkubwa wa mashabiki wa nyumbani hakika mgeni ataisoma namba.

USHINDI HAUPATIKANI KWA SALA AU KUMUACHIA MUNGU. SHIME SHIME WATANGANYIKA WAKATI NI SASA.

(TWO CAN PLAY THAT GAME)
 
Hizi movements hazina maana bila pesa, network na technology. This can be achieved only if we have strong families, loyalty
 
Nitakua wa mwisho kuamini kama ulivyovitaja havipo , naamini kilichokosekana ni uthubutu tu hasa kulingana na mazingira ya mchezo yalivyokua huko nyuma , sasa mizani imetikisika kidogo ni wakati pekee tuliopewa kama zawadi hatutakiwi kuipoteza
 
Loyalty +organization
Technology na pesa lazima. CCM wana pesa, Samia ana control pesa yote ya serikali kama yake. Rostam, Kikwete, Bahresa, Mwinyi - combine all these together. Halafu chawa wote wanalipwa.

Wewe kumpata mtu loyal tu ambaye hawezi kukuuza kazi kubwa.
Fikiria ufanye conspiracy na mtu kama Nyani Ngabu….,,,,,, aaaaa
 
Bro mbona kama hawa watu uliowataja sio timu nayoiongelea. Anyway kama ni reference tu sio vibaya . Somo ni kua pia wao walianza kama mchicha na sasa ni mibuyu. Nani atamfunga paka kengele ? Tupate na sisi pa kuanzia sauti zetu zisikike loud and clear
 
Back
Top Bottom