Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John KAAYA wakati akitoa ushahidi wake amedanganya mahakama juu ya ELIMU yake 1.Hakusoma advanced diploma ya Refrigerator and Air-condition Ukiacha tu kuwa hakuna kozi hiyo Kwa level hiyo,Lakini...
23 Reactions
28 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo kuwa serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
2 Reactions
10 Replies
335 Views
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
30 Replies
977 Views
Kuna habari za kuwa Jeshi la POLISI litatoa ulinzi mkali kwa waandamaji, Ila litawazuia waandamaji Mimi nasema wasikwepe wajibu ni wajibu wao KULINDA raia wooote
3 Reactions
4 Replies
202 Views
Siku ikifika kila mtu atashika mkono wa Jirani yake, watashikana na kuunda mnyororo wa watu nchi nzima
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano. So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba...
1 Reactions
3 Replies
209 Views
Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ? Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi...
2 Reactions
3 Replies
225 Views
https://www.instagram.com/p/DPtYNuFDePb/?igsh=cHd1bDVuOG9lejV5
1 Reactions
13 Replies
494 Views
Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
0 Reactions
2 Replies
179 Views
Nauliza CCM C-Chukua C -Chako M- Mapema Mmefikia wapi sasa
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...! Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli...
3 Reactions
24 Replies
660 Views
Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli. Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao. Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake...
14 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga. Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia...
14 Reactions
163 Replies
13K Views
Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo...
2 Reactions
5 Replies
311 Views
Salaam! Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno, Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo. “Tukio kama...
4 Reactions
24 Replies
782 Views
WE ARE COMING!!. Unaanzisha Vita dhidi ya KANISA kwakua tu umeshauriwa Linda Rasimali za Nchi, Acha Utekaji ,Acha Mauaji ,Acha kuonea Wapinzani, Acha Kuiba Kura, Hakikisha Kuna Uchaguzi huru na...
25 Reactions
73 Replies
3K Views
Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Back
Top Bottom