Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema...
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea...
Kuweni na amani 🙌🏽
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! 😀
Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao...
Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa.
Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje.
Tunaogopa kuumizw au...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Taifa, atapitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini nchini ili...
Najaribu kuwaza ingekuwa Kenya, ambapo kijana mmoja tu aliuawa na polisi, maelfu ya raia wakajitokeza kuandamana mpaka haki ikatendeka,
Najaribu kuwaza tangu alipotekwa Kibao, siku ileile wote...
Vituko vinaendelea, hivi sasa tumefika kituo cha Kigoma Mjini kwa ACT- Wazalendo tukielekea kutiki CCM :Alien: :Alien: :Alien:
------------
Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo kutoka Kata ya...
Kama wewe ni Mwanachama wa CCM jua wewe ni goigoi. Size yenu ni Wali, chumvi, Baiskeli, pikipiki tshirt kanga na Bango.
Leo tulikuwa buhongwa watu wanapigana wapate pango la CCM.
Mtu unagombana...
Hapo jijini Mwanza wakati akitoa hotuba yake alianza kulalamika kikohozi kihozi dadeki tupo naye mpaka october 29 hafiki mbali huyu amini nawaambia afiki mbali.
“Wanataka tuandamane tar. 29 Oktoba ila watuambie sababu zenye msingi wa kuandamana,sio kusema mtoto wa rais anaendesha gari zuri,je walitaka atumie bajaj”
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura...
Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika.
Mkianza na George Hadi...
Kwanza ilianza Arab Spring mwaka 2009/10 - 2012 ambapo nchi za Uarabuni zilishuhudia vuguvugu la Mabadiliko ya Tawala zake. Nchi za Tunisia, Libya, Misri zilipata Viongozi wapya.
Miaka ya...
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe...
CHADEMA walitaka kuwa na Katiba ambayo italeta misingi thabiti kwa taifa letu.
Kuwa na uchaguzi huru na wenye haki.
Kuwa na sheria madhubuti ambazo zingesimamaia uchaguzi huru. Mfano kuwa na...
Ukifuatilia kisa cha Ndugu Humphrey Polepole tangu zilipoanza kusambaa taarifa za kutekwa kwake, walio wengi walipoteza matumaini ya kumuona tena na hii ilikuwa credit kwa wahusika wa tukio...
Wakuu,
Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.