GE2025 Mgombea ubunge Bukoba mjini Amir Hamza amnadi Rais Samia

GE2025 Mgombea ubunge Bukoba mjini Amir Hamza amnadi Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Amir Hamza, amemnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt.Samia Suluhu Hassn, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kutumia haki yao ya Kidemokrasia kuwachagua viongozi bora kuanzia ngazi ya Madiwani, Wabunge hadi Rais, ili kuhakikisha taifa linaendelea kupata maendeleo ya kweli kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho na kuwataka Watanzania wote kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.
 
Back
Top Bottom