Wanabodi
Zamani JF ndio ilikuwa ya kwanza kwa ma Breaking News, lakini sasa...!
Yule member wetu, Jasusi, Aliyetoa Breaking News ile siku ya Tarehe 12 March mwaka ule, Taifa tukatangaziwa Tarehe...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema:
“Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha...
Samia kwenye kampeni zake zote akumtaja na kumeeleza vyema hayati Magufuli kama alivyofanya leo wakati yupo huko Chato!
Unafiki wa kura unaendelea
=======================
Mgombea wa urais wa...
Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo...
Hawa watoto wa 2000 wana moto mkali sana, wamefanya vitu ambavyo sisi wakubwa zao tumeshindwa kwa muda mrefu sana.
Gen Z wakiamua lao ni ngumu kuwapooza au kuwa supress, mifano michache ni wiki...
Mlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais Magufuli.
Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha Magufuli sema anahofia uhai wake.
Kwenye picha...
Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali...
Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.
"Kuelekea uchaguzi mkuu nawaomba raia wote kuongozwa na dhamiri iliyo safi iliyo hai na yenye kuongozwa na ukweli halisi wenye kuzingatia hofu ta Mungu, utu wa mtu, historia nzuri ya taifa letu...
Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967.
Na hiki...
"Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na...
Wana wa stratejia ndani ya CCM wamefanikiwa sana kumleta Makonda Paul ambaye ni msukuma mvaa utepe mkononi unaoashiria majonzi .
Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma"...
Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana.
Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi.
Ni polisi...
"Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka...
"Tunataka hata sisi mtu mwenye 'Masters' akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama kule nyuma kazi fulan Fulani ni za watu wa elimu Fulani"-Balozi...
Nani atusaidie kumpata? Marekani? Maandamano ya 29.10.25 yakifanyika kama ya Nepal, tutampata na wengine angalau hata maiti zao!
Polepole kwanini ulijiaminisha kuwa hapa. Ungelikwenda hata...