Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo cha kupiga kura oktoba 29 ni jambo muhimu na hatua muhimu ya kuelekea uhuru kamili wa Tanzania. Kwa miaka mingi Africa imekumbwa na migogoro inayosabsbishwa na vita baridi na vita...
2 Reactions
9 Replies
328 Views
Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
4 Reactions
3 Replies
159 Views
Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Mjumbe wa Halmashauri ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Hassan Jaibu Rashid, amewakumbusha Watanzania kutambua thamani ya amani iliyopo na kuwasihi wale wanaojaribu...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
Abduli Nondo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe. Amewaomba wananchi kumrejesha bungeni ili akapambane na ufisadi kulingana na historia yake katika...
2 Reactions
6 Replies
252 Views
Wakuu, Taarifa nilizopata punde ni kuwa Mzee Kahama amefariki Dunia kama muda mchache uliopita katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili (muda wa saa 10 kamili jioni hii). Kahama aliwahi kuwa Waziri...
29 Reactions
204 Replies
41K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela kupitia Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Shabani Itutu ameitaka Serikali itoke hadharani kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini...
1 Reactions
3 Replies
241 Views
Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa...
4 Reactions
1 Replies
215 Views
  • Featured
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka” Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Leo Maria Spaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Motisha na Ujasiri utatoka wapi? Utekaji umekithiri na itazidi kuongeza, watu wanasambaratishwa hata kukaa kijiweni ni shida! Je tutoa wapi...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa...
6 Reactions
12 Replies
948 Views
Wanabodi Zamani JF ndio ilikuwa ya kwanza kwa ma Breaking News, lakini sasa...! Yule member wetu, Jasusi, Aliyetoa Breaking News ile siku ya Tarehe 12 March mwaka ule, Taifa tukatangaziwa Tarehe...
26 Reactions
175 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya...
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema: “Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha...
2 Reactions
3 Replies
247 Views
Samia kwenye kampeni zake zote akumtaja na kumeeleza vyema hayati Magufuli kama alivyofanya leo wakati yupo huko Chato! Unafiki wa kura unaendelea ======================= Mgombea wa urais wa...
1 Reactions
6 Replies
427 Views
Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo...
2 Reactions
1 Replies
180 Views
Hawa watoto wa 2000 wana moto mkali sana, wamefanya vitu ambavyo sisi wakubwa zao tumeshindwa kwa muda mrefu sana. Gen Z wakiamua lao ni ngumu kuwapooza au kuwa supress, mifano michache ni wiki...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Mlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais Magufuli. Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha Magufuli sema anahofia uhai wake. Kwenye picha...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…