DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mjumbe wa Halmashauri ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Hassan Jaibu Rashid, amewakumbusha Watanzania kutambua thamani ya amani iliyopo na kuwasihi wale wanaojaribu kuleta uchochezi kupitia mitandao ya kijamii kuacha vitendo hivyo kwani madhara yake ni makubwa.
Rashid ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahojiano na TBC Digital mkoani Mbeya, na kutoa wito kwa viongozi wengine wa dini kuendelea kuhubiri amani nchini.
Rashid ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahojiano na TBC Digital mkoani Mbeya, na kutoa wito kwa viongozi wengine wa dini kuendelea kuhubiri amani nchini.