Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa...
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wafuasi wa chama hiko kujitokeza kupiga kura siku ya Oktoba 29, 2025, na kuwahakikishia kuwa...
Mwenezi wa Itikadi, Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekutana na zaidi ya waendesha bodaboda 300 jijini Arusha na kuwasihi kutoshiriki maandamano...
Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje?
Tunaona ukatili na utekaji usio na kifani nchini baada ya #OktobaTunatoka kushika kasi! Wanatuuzia woga! Sasa kama sababu tunayo, nia...
Hakika hii ndio dawa yao!
Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa
===============
Watanzania na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limewataka Wananchi wa Mkoa wa Njombe kuwa huru na kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe Oktoba 29,2025 bila hofu yoyote
Akizungumza na Vyombo vya habari Oktoba...
Kada wa wa zamani wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Ezekia Wenje amesema kuwa wapinzani wa ndio waliochelesha upatikanaji wa katiba mpya, wenje ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
Dkt. Samia Suluhu Hassan analiangazia Jiji la Dar Es Salaam kwa miaka 25 ijayo. Anajua Dar Es Salaam ni Jiji la Biashara, anatambua Jiji hili ndiyo kitovu cha uchumi wa nchi hii, amefanya maamuzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mfanyabiashara Mohamed Yusufali amekuwa akitumia majina ya familia ya Rais wa Tanzania kinyume na taratibu na kuchafua viongozi.
Pia soma...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Abdul Nondo, amesema miaka mitano iliyopita ya...
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania...
Leo ni tarehe 20 Oktoba 2025
Tarehe kama hii ya leo mwezi ujao credibility ya Mwanasiasa, Kiongozi wa dini, msanii wa injili, msanii wa bongo flavour au mwananchi yeyote yule itapimwa kwa jambo...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini...
Viongozi wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, maarufu kama Malaigwanani, wametoa tamko rasmi la kuunga mkono kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, huku wakipinga vikali wito wa...