Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

Kwa unafikiri hajui au hayupo tayari na hizo changamoto?
 
Kwani hoja zake Bado hamjazielewa Hadi sasa?, ndio maana ameahidi kurudi kufafanua tena..amejua kuna vichwa vya jiwe ambavyo havielewi kwa haraka 😀
 
Hata akivuliwa we na ukoo wenu itawasaidia nini? Dr. Slaa alivuliwa, ulifaidika na cho chote? Mitanzania kwa roho mbaya hatujambo.

Tumekuwa taifa la hovyo lisilofikiri. Halafu mama analalamika eti vijana hawajadili mambo ya maana. Ili watekwe na kuuliwa?

20250720_091027.png
 
Alisha jiuzuru maana yake hautaki hasa kwenye utawala huu, hivyo wauchukue tu wanipe mimi.
 
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Just like that?

Haitatokea kwani si utaratibu wa wenzetu wanahubiri na kuishi kidemokrasia sio huku kwetu Tunaishi kwa kuumizana.

WaTanganyika aliye waloga ni nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom