Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Imfikie Donald Trump.
Kabisa.Ubalozi wa Marekani nao wamekuwa mbwa wasio umma! Watu wa Matamko tu !
Mtanzania mtu pekee wa kukupigania si wa nje ni wewe
Narudia Ubalozi wa Marekani hautasaidia lolote,
Tumeona Mara nyingi uminywaji wa democracy na wao ndo wanaendelea ku fund mirad badala ya kutoa adhabu!
Watu wamepotea na wengine walihakikishiwa hadi usalama wao na hizo hizo balozi lakin wakakaa kimya
Njia Pekee ni kumwajibisha mtawala na sisi ndi wenye mamlaka
Britanicca
Itabidi balozi atekwe asituingilie kwenye mambo yetu.
Hapa ndo umeongea kabisa. Yaani USA waje waandamane kwa ajili yetu . Huu utaratibu wa kuwalilia wazungu ifike mda tuachane nao sisi ndo tunaoumia hao wazungu wataishia kutoa matamko tuUbalozi wa Marekani nao wamekuwa mbwa wasio umma! Watu wa Matamko tu !
Mtanzania mtu pekee wa kukupigania si wa nje ni wewe
Narudia Ubalozi wa Marekani hautasaidia lolote,
Tumeona Mara nyingi uminywaji wa democracy na wao ndo wanaendelea ku fund mirad badala ya kutoa adhabu!
Watu wamepotea na wengine walihakikishiwa hadi usalama wao na hizo hizo balozi lakin wakakaa kimya
Njia Pekee ni kumwajibisha mtawala na sisi ndi wenye mamlaka
Britanicca
Yaaan tena wahahkikishe wanampasua analeta nywi nywini wakati watu tumakulaItabidi balozi atekwe asituingilie kwenye mambo yetu.
Habari ndugu. Unamaanisha nin? Satellite image with codec video?Usikute USA wana ushahidi wa Matukio Mengi sana Yanayotokea hapa Tanzania ila wamekausha tu, na usikute wanajua Mapaka mateaka wa Kisiasa walipoifadhiwa