MWAKA MPYA 2019: MWAKA WA KURUDISHA DEMOKRASIA, HAKI ZA BINADAMU NA UTU WETU TANZANIA
SEHEMU YA KWANZA
Tundu AM Lissu, MB
University Hospitals Leuven, Campus Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo...
Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ametoa wito kwa wavuvi wa samaki katika kata ya Kivukoni, jijini Dar es Salaam, kuendelea kulinda amani ya...
Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu!
==============
"kura yako ya ndiyo ni...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo,alieleza mfumo wa sasa unaotumika kuwapangia wastaafu na watumishi wa umma matumizi ya fedha zao baada ya kustaafu ni dharau na unaowafanyia...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza kubandika majina ya wapiga kura walioandikishwa na kuwahimiza wananchi kuhakikisha taarifa zao kupitia kwenye vituo walivyoandikishwa.
Chanzo...
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, Naitapwaki Tukai amekutana na Viongozi wa makundi mbalimbali ya Viongozi wa Dini, Mila, Wafanyabiashara akiwaomba watumie nafasi zao kuwahamasisha Wananchi...
Shahidi wa Tatu (3) wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya amemaliza kutoa ushahidi wake hapo jana...
Shauri namba 24514 la mwaka 2025 lililofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa mpaka sasa kesi dhidi yake imeshakwisha kutokana na...
Amnesty international wameendelea kutoa ripoti ya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini. Hivi karibuni pia Democracy Union of Africa (DUA) imetoa kauli juu ya ukiukwaji wa haki unaendelea...
Wakuu
Mahubiri ya amani yanaendelea nchini. Nimeona huko Iringa madereva bajaji wamekusanywa na Polisi na kuanza kupewa mawaidha kuhusu umuhimu wa amani
Binafsi sijawahi kuona such stress kwenye...
CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa...
Habari ya usiku huu wa GT.
Kila nikiangalia mwenendo wa mambo hasa hasa huko TLS, hasa hasa Rais wa TLS nafsi inaniambia mambo yafuayayo yanapaswa kupewa jicho la tahadhari:
Kwanza, Section 4
Kwa...
Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu!
Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea...
Wakuu,
Hivyo ndio ndivyo jinsi wazee watu walivyokuwa wakiomba huduma kwa wakoloni ikitokea wananchangamoto fulani katika eneo husika. Imagine hapo mzee wako wa miaka 50, au 60 anajikusanya na...
Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.