Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo...
12 Reactions
12 Replies
452 Views
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa...
10 Reactions
16 Replies
407 Views
DeletedMember281674
Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Ni Kijana mmoja ambaye bado hajafahamika utambulisho wake, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda, amekutwa ameuawa katika mashamba ya Likamba, kitongoji cha Olomoshira, Kata ya Musa, Wilaya ya...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Walianza na FAM& Co. Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza. Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga. Kamwaga ya Direct Contact ya...
5 Reactions
22 Replies
381 Views
Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika...
0 Reactions
3 Replies
83 Views
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
https://youtu.be/7baghlq6T8w?si=apJo8DeSrPKaHeZA John Nchimbi, mdogo wake Emmanuel Nchimbi ametekwa. Habari zinakuja bila ufafanuzi.
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala wa Siku ya Demokrasia, Jenerali Ulimwengu amesisitiza kuwa ili kuwajenga vijana na kulinda demokrasia, ni lazima kusema iseme ukweli na kudai...
6 Reactions
7 Replies
362 Views
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu). Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa...
15 Reactions
102 Replies
2K Views
Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia...
2 Reactions
7 Replies
59 Views
Upande wa Jamhuri umeendelea kumfanyia cross-examination Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Katika maswali...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema taasisi za dini haziruhusiwi kisheria kwenda kwenye vituo vya kura kuangalia mchakato wa upigaji kura...
2 Reactions
1 Replies
89 Views
Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa...
4 Reactions
6 Replies
99 Views
Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake...
20 Reactions
81 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
1 Reactions
36 Replies
685 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina...
5 Reactions
41 Replies
333 Views
Hamjambo! Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi. Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale...
6 Reactions
23 Replies
336 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…