Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF kama kuna kitu mmegundua ni usalama wetu members yaani tunafanya vile tunataka like tupo katika nchini ambayo uhuru upo wakutosha kama nchi ya ahadi hao wanaohamisisha maandamano waje huku...
3 Reactions
19 Replies
407 Views
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu...
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Wanabodi, Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy...
10 Reactions
87 Replies
4K Views
Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke...
51 Reactions
230 Replies
9K Views
Nashanga kuona kwamba watu wsnafikiria kwamba wataandamana tarehe 29 October. Maandamano ya katika nchi hii tulifanya sisi Mwembechai. Inasikitisha sana kuona Hawa watu wanaongea haya maneno ya...
1 Reactions
4 Replies
384 Views
Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
2 Reactions
8 Replies
315 Views
Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi...
5 Reactions
6 Replies
291 Views
Jamani njooni mmsikie mama kizimkazi, Mama anabwebwe huyu za mdomoni. Kama kweli Tanzania ni pepo mbona shida zipo nyingi, utekaji umeshamili, ufisadi ndio maisha ya vigogo. Embu tuache kidogo...
1 Reactions
13 Replies
482 Views
Polisi mnajidhalilisha mnaenda kukamata Kibinti kinacheza zake Tik tok uko mnaenda kumkamata kama jambazi? Kosa la huyo binti ni nini? Kama alikua na kosa mlishindwa kutuma wito ajisalimishe...
11 Reactions
13 Replies
511 Views
  • Featured
Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni...
41 Reactions
351 Replies
65K Views
https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la...
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Mama Mzazi wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Weisiko Heche, jioni ya leo amefika katika Kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam ili kuomba kuelezwa alipo...
8 Reactions
25 Replies
927 Views
Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako...
2 Reactions
9 Replies
475 Views
Sheikh Ramadhan Twawilu ametoa wito kwa viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kukemea wote wenye mipango ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi akisisitiza kuwa...
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna...
0 Reactions
3 Replies
233 Views
Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa...
2 Reactions
0 Replies
148 Views
Wanabodi, Wapo watu wanasema ya kuwa: Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya. Mimi nauliza: Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka...
3 Reactions
24 Replies
773 Views
Kiongozi Mkuu wa Taasisi ya Twariqa Tanzania, Sheikh Said Hamis Migire, amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu kabla, wakati, na baada ya uchaguzi mkuu, akifananisha amani na yai ambalo...
0 Reactions
11 Replies
343 Views
Huu ndio ukweli turnout ya idadi ya wapiga kula hiyo tar 29 itakuwa ni jibu tosha kuwa CCM haikubaliki kama wanavyodanganya. Ndio maana imetumika nguvu kubwaa sana kulazimisha watu wajitokeze...
3 Reactions
1 Replies
136 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…