Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi.
Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya kuharibu nchi.
Kwanini watoto wa watu waumizwe kwanza, kama tumekubali majizi na civil servants wameshindwa kuwakabili majizi na kuamua kuwa sehemu ya wizi.
Sasa tufanye nini zaidi ya kukubali yaishe kama wenyewe wenye mbinu hawataki kuzuia bila ya kuona damu za raia kwanza.
Hii ni vita ya security apparatus sio sisi watanzania.
Wao ndio walio tengeneza mazingira ya nchi kuchezewa na ndio wenye jukumu la kuweka mambo sawa.
Binafsi siwezi andamana kwa upuuzi uliotengenezwa na vyombo bye tu vya ulinzi, they need to sort it out.
Sasa aina maana naingilia maamuzi ya wengine.
But if you think about, it’s just pathetic who on his right might angempa nchi Samia.