Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wameenda kwenye majeshi, idara za usalama kwa uzalendo lakini sasa wakubwa wao wamekuwa mafisadi wakubwa na kuunga mkono unyanyasaji! Sasa kuna tatizo jipya kubwa Tanzania la wanajeshi kuamini...
9 Reactions
16 Replies
872 Views
Unajua bana, kwenye zama hizi mtu huwezi ukafanya mambo hadharani halafu yaendelee kuwa siri au sijui ujifanye huajayaona. Picha za Watanzania walioumizwa, waliojeruhiwa, na waliouliwa na mamluki...
20 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa ccm wanapanga kuanza kutangaza matokeo ya uchafuzi walioufanya jana na ukafeli ili kuleta panic na kujionesha kuwa wana li control Taifa. Tunawaomba askari wetu wapendwa JWTZ...
6 Reactions
11 Replies
657 Views
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani...
3 Reactions
3 Replies
560 Views
Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na...
10 Reactions
6 Replies
485 Views
Kipindi hichi ndio nimefahamu kwamba Tanzania kuna makundi yenye umoja, maana hati umoja wa mamalishe Tanzania nimeufahamu kipindi cha Samia ============== Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni Dar Es...
5 Reactions
9 Replies
349 Views
Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa...
2 Reactions
11 Replies
676 Views
Ni makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote...
17 Reactions
21 Replies
701 Views
Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya...
2 Reactions
22 Replies
973 Views
Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
alikuwa raisi wa kwanza ya malawi mwanamke alichukuwa pia uraisi kama makamu baada ya raisi aliyekuwepo kufariki, uchaguzi ulipofika alishindwa akaachia bila ya mauaji wala majeshi ingwaje alikuwa...
3 Reactions
6 Replies
439 Views
Kwa yanayoendelea nchini, mauaji ya wazi kwa raia na vitendo vya utekaji bila Rais kukemea - ni kweli Magufuli alikufa kifo cha kawaida? Yaani, inatafakarisha sana: 1) Aliyetutangazia kifo cha...
5 Reactions
8 Replies
565 Views
Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo? 1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
2 Reactions
38 Replies
1K Views
GT Kinachoendelea ni maajabu ndugu zangu hakuna mtu kapiga kura nina shuhuda zifuatazo. 1. Dar tabata mawakala wamekimbia vituo.sa4 asubuhi hakukuwa na uchaguzi 2 Singida kituo kimoja...
4 Reactions
6 Replies
404 Views
Ruvuma Iringa Rukwa Tabora Kagera Tanga Lindi Morogoro Njombe Katavi Singida
5 Reactions
14 Replies
714 Views
Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari...
29 Reactions
38 Replies
1K Views
Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025, ikumbukwe Tume ya Uchaguzi ilipuliza kipyenga cha kuanza kampeni za wagombea wa urais...
1 Reactions
1 Replies
219 Views
Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to...
4 Reactions
84 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…