JWTZ tangazeni usiku huu kuchukua nchi. Enough is enough.

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,970
Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda.

Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni.

Mumeona namna hao wanajeshi wa Uganda walivyoua na wanavyoua Watanzania. Samia sio tu hafai kuwa Rais bali hafai hata kuwa raia wa Tanzania.

Tunawaomba sana, sitisheni kila kitu usiku huu wa leo na tangazeni mmeichukua hii nchi kuondoa hili ombwe.

Achaneni na washenzi TISS na Polisi. Wakubwa wao ndo wanalazimisha huyo mshenzi, muuaji na fisadi arudi na aapishwe. Msiruhusu kabisa maana mmeshaona kwa namna gani alivyo shetani na hafai.
 
Mkuu hivi kuna uchaguzi wowote ambao umefanyika hapa hebu tuwe wa kweli sasa watamu apiza vipi hasa??
 
Samia kakataliwa na Watanzania wote. Nchi imelipuka kwa fujo karibu kila sehemu. Watu wanakufa na kuuwawa na askari wa kigeni walioingizwa na Samia mwenyewe

Samia kakataliwa na Jumuiya yote ya Kimataifa. Leo hii hadi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katoa tamko kulaani yanayoendelea Tanzania. Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu limetoa tamko kulaani yanayoendelea. Vyombo vya habari vya Kimataifa vyote vinaripoti kwa siku 3 mfululizo mauaji na maandamano yanayoendelea Tanzania. Bunge la Umoja wa Ulaya limesema hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi Tanzania.

Labda niwaulize JWTZ. Nani anawazuia kuchukua Nchi? Mmerogwa au???

Hivi mkichukua nchi kwenye hali hii nani ataiwekea vikwazo Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Nani ataitenga Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Hamuoni kila mtu anawasubiri nyie kuchukua hatua? Hamuoni Wananchi wanavyowataka mchukue hatua??

Hamuoni hatua ya nyie kuchukua Nchi ndo itafanya Nchi iwe vizuri na ivuke vizuri kutokea hapa??

Embu tuambieni mnakwama wapi Wanajeshi wetu??? Nani kawaroga???

Hadi muda huu mlipaswa kuwa mmetangaza kuichukua nchi na mzuie huo upumbavu unaoendelea wa kutangaza matokeo yanayokataliwa na Dunia nzima.

Take Action. Acheni uzembee nyie watu.
 
NKUNDA , **** sana, jamaa ndio chanzo cha yote hayaa sababu alikubali kununulika, sasahivi ana buy time ,ili huyo mama aingize majeshi yake, waue waaandamanaji then wawashe mtandao
Kwani yeye ndo anawabebea silaha?

Yeye ndo anawalisha?

Waache kuwa Wapumbavu. Dunia inawataka wachukue hatua ku rescue the situation.

Hawa watu mbona wanakuwa washenzi hivi?
 
Samia kakataliwa na Watanzania wote. Nchi imelipuka kwa fujo karibu kila sehemu. Watu wanakufa na kuuwawa na askari wa kigeni walioingizwa na Samia mwenyewe

Samia kakataliwa na Jumuiya yote ya Kimataifa. Leo hii hadi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katoa tamko kulaani yanayoendelea Tanzania. Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu limetoa tamko kulaani yanayoendelea. Vyombo vya habari vya Kimataifa vyote vinaripoti kwa siku 3 mfululizo mauaji na maandamano yanayoendelea Tanzania. Bunge la Umoja wa Ulaya limesema hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi Tanzania.

Labda niwaulize JWTZ. Nani anawazuia kuchukua Nchi? Mmerogwa au???

Hivi mkichukua nchi kwenye hali hii nani ataiwekea vikwazo Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Nani ataitenga Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Hamuoni kila mtu anawasubiri nyie kuchukua hatua? Hamuoni Wananchi wanavyowataka mchukue hatua??

Hamuoni hatua ya nyie kuchukua Nchi ndo itafanya Nchi iwe vizuri na ivuke vizuri kutokea hapa??

Embu tuambieni mnakwama wapi Wanajeshi wetu??? Nani kawaroga???

Hadi muda huu mlipaswa kuwa mmetangaza kuichukua nchi na mzuie huo upumbavu unaoendelea wa kutangaza matokeo yanayokataliwa na Dunia nzima.

Take Action. Acheni uzembee nyie watu.
Mkuu, a military takeover is an extraordinary step. Unless one is power hungry, one doesn’t take it lightly, because it isn’t palatable in the international community. You take it only if you must. Tutafika huko watawala wakizidi kushupaza shingo na kulilazimisha Jeshi kufanya hivyo.

Tuko kwenye constitutional quagmire. Bunge lingekuwa hai tungelilazimisha limng’oe Rais immediately. Unfortunately mtu wa kulirudisha Bunge ni huyo huyo ambaye ni sehemu ya problem. She won’t do it.

Kwa sasa option ya kiraia ambayo inafaa ni kujiuzulu kwa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mpigo. Hapo constitutional line of succession yote itakuwa imefutika. Hiyo itatupa some leeway to install a handpicked wiseman to assume the presidency on an interim basis.

Tuwaonye Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwamba huu ndio wakati sahihi wa kuachia ngazi kwa hiari. Wakisubiri hali iwe mbaya zaidi mpaka Jeshi lilazimike kujitwalia madaraka, hatutakuwa na utani. Tutawashughulikia barabara. They’ll regret it!
 
Acha kuzunguka zunguka wewe. Kwwa yanayoendelea huoni kuwa Military takeover is necessary?

Wafe wangapi? Atoe statement nani ndo uone military takeover is necessary?
 
Mkuu, a military takeover is an extraordinary step. Unless one is power hungry, one doesn’t take it lightly, because it isn’t palatable in the international community. You take it only if you must. Tutafika huko watawala wakizidi kushupaza shingo na kulilazimisha Jeshi kufanya hivyo.

Tuko kwenye constitutional quagmire. Bunge lingekuwa hai tungelilazimisha limng’oe Rais immediately. Unfortunately mtu wa kulirudisha Bunge ni huyo huyo ambaye ni sehemu ya problem. She won’t do it.

Kwa sasa option ya kiraia ambayo inafaa ni kujiuzulu kwa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mpigo. Hapo constitutional line of succession yote itakuwa imefutika. Hiyo itatupa some leeway to install a handpicked wiseman to assume the presidency on an interim basis.

Tuwaonye Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwamba huu ndio wakati sahihi wa kuachia ngazi kwa hiari. Wakisubiri hali iwe mbaya zaidi mpaka Jeshi lilazimike kujitwalia madaraka, hatutakuwa na utani. Tutawashughulikia barabara. They’ll regret it!
Uko sahihi! Hatuhitaji Jeshi, tunahitaji serikali ya wananchi ya mpito kuturusha kwenye hii crisis!

Tabia ya JESHI ni moja tu, wakichukua nchi wananchi na serikali wote TUMESHINDWA! Na jeshi likichukua nchi HUWA HAIJULIKANI LINI WATAIREJESHA na hakuna mtu ataongea kitu!
 
Mkuu kama ni hivyo basi kwa nini hao viongozi waaiachie ngazi tujue moja??Hawana huruma kabisaa na wananchi hata kidogo...
 
Wananchi wanaweza kusema utawala wa Samia umesitishwa?

Wananchi wanaweza kuanzisha Serikali yao bila Jeshi kuwaunga mkono na kuanzisha mchakato?

Au mnajitoa ufahamu tu?

Jeshi ndo linapaswa kuanzisha mchakato wowote ule uwe wa kijeshi au wa Serikali ya mpito ya kiraia. Wananchi hawawezi kujianzisha tu taratibu bila Jeshi kuwaunga mkono.

Kwa hali iliyopo, ili kuzuia wananchi kuendelea kuuwawa na hawa askaro wa kukodi wa samia kutoka uganda Jeshi lilipaswa kwanza kusitisha na kuzuia utangazwaji wa matokeo feki ya uchaguzi na hatua ya pili kutangaza ukomo wa ufawala wa CCM na Samia.

Tatu ilipaswa kutangaza kufunga mipaka ili kufanya operesheni na kuondoa hawa askari qa kukodi na mwisho ingeitisha mjadala wa kitaifa wa Serikali ya mpito.

Kuacha Samia kuendelea kufanya mauaji huku Tume yake ikiendelea kutangaza matokeo ya uongo ni sawa na wao kujiweka kama sehemu ya mipango ovu ya samia na genge lake dhidi ya Watanzania.
 
Mkuu kama ni hivyo basi kwa nini hao viongozi waaiachie ngazi tujue moja??Hawana huruma kabisaa na wananchi hata kidogo...
Unaona kiongozi wa kuachia ngazi pale ccm bila kushurutishwa?

Nyie ni wageni na ccm au?
 
Samia kakataliwa na Watanzania wote. Nchi imelipuka kwa fujo karibu kila sehemu. Watu wanakufa na kuuwawa na askari wa kigeni walioingizwa na Samia mwenyewe

Samia kakataliwa na Jumuiya yote ya Kimataifa. Leo hii hadi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katoa tamko kulaani yanayoendelea Tanzania. Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu limetoa tamko kulaani yanayoendelea. Vyombo vya habari vya Kimataifa vyote vinaripoti kwa siku 3 mfululizo mauaji na maandamano yanayoendelea Tanzania. Bunge la Umoja wa Ulaya limesema hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi Tanzania.

Labda niwaulize JWTZ. Nani anawazuia kuchukua Nchi? Mmerogwa au???

Hivi mkichukua nchi kwenye hali hii nani ataiwekea vikwazo Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Nani ataitenga Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Hamuoni kila mtu anawasubiri nyie kuchukua hatua? Hamuoni Wananchi wanavyowataka mchukue hatua??

Hamuoni hatua ya nyie kuchukua Nchi ndo itafanya Nchi iwe vizuri na ivuke vizuri kutokea hapa??

Embu tuambieni mnakwama wapi Wanajeshi wetu??? Nani kawaroga???

Hadi muda huu mlipaswa kuwa mmetangaza kuichukua nchi na mzuie huo upumbavu unaoendelea wa kutangaza matokeo yanayokataliwa na Dunia nzima.

Take Action. Acheni uzembee nyie watu.
Kinowazuia JWTZ ni kwamba Amiri Jeshi Mkuu ameagiza wanajeshi wote wafungiwe kwenye makambi yao na asitoke mtu, kwani amepoteza imani na JWTZ. Pia maghala ya kuhifadhia silaha yapo yalindwa na wanajeshi wanomtii Amiri Jeshi Mkuu hivyo ukionekana wataka kuvamia ghala ni kulengwa shabaha tu.

Ndo maana akaamua pia kuagiza wanajeshi wa kukodi kutoka Uganda na nchi zingine ambazo hazijataka kutangazwa.

Taarifa za kijasusi zadai kuwa mzee M7 kwa muda wote alokaa madarakani ametengeneza vikosi vipatavyo 10,000 kwa wenye mafunzo ya hali ya juu na hutoa kiasi fulani vya vikosi hivyo kwenda kwenye shughuli maalum kama ile ya Uchaguzi wa Kenya na sasa yadaiwa katoa vikosi hivyo kwenda Tanzania na wapo kila mkoa wenye dalili za vurugu pamoja na kulinda sehemu nyeti likiwemo jengo la Bunge Dodoma.

Nnchi imebadilika tangia jumatano ilopita na haitakuwa ile Tanzania tunoifahamu miaka yote.
 
Sasa what is our way forward?na hao JWTZ watafungiwa Hadi lini?Hawa wanao Linda raia wametoka wapi?
 
Yasemwa walolinda raia si JWTZ khasa ila ni sehemu ya jeshi maalum.

Kinofanyika ni kuhakikisha haohao baadhi yao ndo wana kazi ya kufanya selection na kuua raia ama kwa risasi za hapo kwa hapo au kuwa kutumia wengine waitwa snipers.
 
Yasemwa wanolinda raia ni wale wanomtii Amiri Jeshi Mkuu.
Amiri jeshi mkuu ni Samia, so wanaomtii ndio wanatulinda?na kama ni wanao mtii MKUNDA , kwa nini awafungie nusu Kisha awaache nusu?
 
Kwa kwei hali ya kiusalama si nzuri kwani wanajeshi halisi ni vigumu kuwatambua.

Ukumbuke wapo watu ambao wamevaa sare za jeshi na watumia magari ya jeshi lakini si JWTZ halisi.
 
Hii ni misimfromation mnajaribu kuifanya.

Wanaolinda raia ni JWTZ kweli na wapo mitaani. Kinachotakiwa kufanyika ni wao kwenda a step ahead kwa kuiondoa kabisa hii Serikali ya Wazanzibari inayoua Watanganyika.

Samia ndo anaua Watanganyika ili aendelee kuwatawala. Kombo nae kakimbilia Zanzibar huku akiongelea maswala ya Tanganyika na vyombo vya nje kuwarubuni.
 
Ni Kwa sababu discipline master wao- yaani munadhim mkuu wa JWTZ ni wa visiwani, classmate wa kombo aliyekana kwamba hakuna mauwaji. Damu nzito… wanamlinda dada yao… ndio sababu ya kigugumizi chao
 
Huyo mnadhimu ana nguvu kiasi gani? Anaweza kuwazuia raia milioni 60?
 
Ni siku mbili najiuliza nakujilaumu sana kuliamini hili jeshi kuwa kitatuvusha!

Watanzania hatuna wa kumkimbilia tena wanasiasa watatufanya vile wanataka.
 
Back
Top Bottom