Nyepesi Nyepesi

Nyepesi Nyepesi

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
909
Reaction score
625
Kuna fununu zifuatazo kama picha hapo chini zinavyoonesha kuwa Ruto na Museveni wanataka kumrudisha Samia wagawane madaraka na Tundu Lisu. Nasema hivi Tundu Lisu asikubali huyu Mama hafai hata kuwa diwani kwenye hii nchi anafaa kushitakiwa kwa makosa ya uhaini.
 
Attachments

  • Screenshot_20251101_073354_X.jpg
    Screenshot_20251101_073354_X.jpg
    124 KB · Views: 19
  • Screenshot_20251101_073421_X.jpg
    Screenshot_20251101_073421_X.jpg
    53.4 KB · Views: 17
Kuna fununu zifuatazo kama picha hapo chini zinavyoonesha kuwa Ruto na Museveni wanataka kumrudisha Samia wagawane madaraka na Tundu Lisu. Nasema hivi Tundu Lisu asikubali huyu Mama hafai hata kuwa diwani kwenye hii nchi anafaa kushitakiwa kwa makosa ya uhaini.
Nyie watoto mnaota ndoto za mchana hahahahahahahaha 1🤣🙈🤣🤣🤣🤣
 
Kuna fununu zifuatazo kama picha hapo chini zinavyoonesha kuwa Ruto na Museveni wanataka kumrudisha Samia wagawane madaraka na Tundu Lisu. Nasema hivi Tundu Lisu asikubali huyu Mama hafai hata kuwa diwani kwenye hii nchi anafaa kushitakiwa kwa makosa ya uhaini.
Achana na taarifa za Kenya, but this is the problem we brought upon ourselves
 
Back
Top Bottom