Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,911
- 16,510
TAARIFA KWA UMΜΑ
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025.
Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza mauaji haya na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Ni muhimu wote waliohusika wawajibishwe ili haki itendeke na Taifa lipone.
Imetolewa na
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
Kwa Jamii Yenye Haki na Usawa.