Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mungu mwenye enzi kuu kwa unyenyekevu nakuomba katika uchaguzi huu ututeulie viongozi wenye HOFU ya Mungu. Sisemi wanaomaliza si wachaMungu, bali kwa sasa taifa letu linapitia kipindi kigumu na...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Fuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa wakati akifungua kikao cha Kamati Kuu ya Chama,inayokutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, leo na kesho. Kamanda Mbowe amesema taifa liko...
9 Reactions
160 Replies
16K Views
Kila mtu anafahamu maana sanifu ya "mapori" yaani maeneo yenye mimea zaidi iliyojiotea yenyewe na huweza kuwa na wanyama ama wadudu hatari. Pori si msitu kwa maana misitu huwa na uangalizi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumbe inawezekana nchi kujiendesha bila serikali? SERIKALI YOTE YA CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAPO KAZINI WAPO BUSY NA KUGOMBEA URAISI!!!! RAISI YUPO ULAYA ANAAGA Kamkabidhi ofisi Makamu wa Raisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTEUZI WA KAIMU MUFTI MKUU WA WAISLAM TANZANIA Muda mfupi baada ya aliyekuwa mmoja wa Wajumbe wa Baraza Kuu la Ulamaa...
25 Reactions
123 Replies
23K Views
Shocking government data reveals that poaching for ivory has caused the elephant population in Tanzania to drop from almost 110,000 to just 43,300 in the past six years. That is 60 per cent of...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetishia kuwa ikiwa viongozi wa kisiasa wataendelea kuingilia uandikishaji wa wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki wa Biometric Voters Registration (BVR)...
0 Reactions
94 Replies
12K Views
Wapinzani wakijipanga vizuri na kujenga hoja madhubuti kuhusu mambo yafuatayo, wanaweza kabisa kufanikiwa kuiangusha CCM katika uchaguzi mkuu ujao. Madudu chini ya serikali hii ni mengi hivyo...
0 Reactions
5 Replies
974 Views
Wasalaam wanaJF! Ndugu zanguni! Kama mtu alishawahi kutuhumiwa kwa Rushwa na ufisadi leo tunabeba nabango kujitokeza barabarani kumpigania aende Ikulu eti"FlANI ANATOSHA" Hivi tuna matatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa katiba ya znz ya mwaka 2010,znz inatambulika kama nchi yenye wimbo wake,bendera yake na amiri jeshi mkuu. Suala la kuchakachua maoni ya wananchi kweny BMK,likiwemo la kuondoa...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Amani iwe nanyi tena wadau, Leo nikiwa nimekaa natafakari hali ya uchumi hasa kushuka kwa uchumi kulikoifanya nchi kuyumba, mfumuko wa bei, kushuka kwa shilingi na serikali kuishiwa fedha kwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukawa kwenda Ikulu itakuwa jambo la bahati tu, hata hivyo BAHATI ni pale mipango, maandalizi na fursa vitakutana pamoja sehemu moja. Sina shaka na mipango na maandalizi ya UKAWA bali nina wasiwasi...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Mh. Ngonyani ametishia kuchukua maamuzi magumu kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM. Mbunge wa CCM jimbo la Korogwe vijijini mheshimiwa Stephen Ngonyani ametishia kuchukua maamuzi magumu...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Waenga usema ndenge wakao pamoja ndio warukao pamoja, na wengine usema ukitaka kunijua angalia marafiki zangu. Katika kipindi hiki cha uchaguzi unajua Kuwa wale watakao shinda ubunge ndio...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Napenda kutumia fursa hii kama mtz kushauri mambo yafuatayo kuhusu ukusanyaji wa kodi ktk taifa letu. Mimi napendekeza vyanzo vifuatavyo vitumike kukusanya kodi... Serikali ikusanye kodi kwa...
3 Reactions
111 Replies
11K Views
Wakuu Mwanga Tuna Shida Kubwa Moja Tu Ambayo Leprofesar Mvivu Wa Kufikiri Ameshindwa Kuiona Ni Kwamba Wilaya Hii Haina Fursa Yeyote Ya Kiuchumi Wala Ardhi Ya Kilimo. Prof.Kwa Kipindi Cha Miaka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mhariri Mkuu wa Kampuni ya New Habari, ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Bingwa na Dimba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ndugu, Absalom Kibanda...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akivishwa skafu na Kijana wa CCM, wakati wa mapokezi alipowasili katika Kijiji cha Nyamadoke, kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Demokrasia Tanzania bado ni matatizo Moma Mjini uandikishaji umedorora mashine zimefeli kwenye vituo vya muungano Dorkasi, na kwingine kote.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom