Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mh.Hawa Ghasia wakati mchana huu umekuwa ukijifaragua kuwa utapita kiulaini na wengine watakuwa wasindikizaji tu unajidanganya. Sisi wapiga kura wako tumepania tukupige chini maana tumechoka na...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Mashahidi wanne ambao ni polisi, wametoa ushahidi katika mahakama ya mkoa wa Singida juzi, katika kesi inayowakabili vijana 9, watatu wakazi wa Dar. Askari hao wametoa ushahidi mahakamani kuwa...
40 Reactions
310 Replies
28K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HOTUBA YA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA...
3 Reactions
46 Replies
25K Views
Kwa siku za karibuni tumeshuhudia mambo haya yafuatayo ambayo haionyeshi afya kwa taifa hii ya Tanzania nazo ni; Mapatano ya Rais na viongozi wa vyama vya kisiasa chini ya TCD...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyo anayepokea fomu za Mh. Magufuli ndye Rajab Luwavi naibu katibu mkuu CCM bara, Je kaacha kazi Ikulu na kuamua kutumikia siasa? au
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni hali isiyopingika kwa sasa. Tunaona dhahiri kuwa ujinga sasa umepiku umaskini na maradhi.Ujinga ni ugonjwa mkubwa unaoangamiza TAIFA kwa sasa haijalishi MTU amemaliza ELIMU ya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika uandikishaji Wananchi kwenye daftari la kudumu la Wapiga Kura nimegundua jambo moja zito sana. Nalo ni hili,iwe kwa ujanja ama kwa makusudi au kwa kutokujua CHAMA CHA MAPINDUZI kupitia hao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahaman Kinana pamoja na msafara wake amesafiri umbali wa kilomita 1680 katika ziara yake ya siku sita Mkoa wa Geita. Katika ziara hiyo...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Ni katika Safari ya matumaini...!!! Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na...
4 Reactions
112 Replies
8K Views
Kanuni za chama ni kwamba kila mtia nia anatakiwa akamilishe idadi ya wadhamini wasiopungua 450 kwa kila mkoa atakaopita. Sasa huyu naskia ni mama ambae kama amekurupuka vile kutamani kulala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau amani iwe kwenu. Mchakamchaka wa makada wa CCM waliochukua fomu kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwenye uchaguzi Mkuu...
7 Reactions
282 Replies
33K Views
Najua tupo katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa mfumo wa BVR. Ni katika kipindi hiki au uchaguzi mkuu wa mwaka huu watu wamehamasika sana kuchagua nk. Watu wapo tayari...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Niko tayari, nimejiandaa, niko tayari kwa mapambano. Tume ya taifa kupitia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura,hatimaye nimepata jambia la kuulia mtu. Hii ni silaha hatari sana kwa CCM. Mwaka...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Unga Limited Arusha:Godbless Lema avamia katika kituo cha uandikishaji akidai sheria hazifuatwi. Ni baada ya kumkuta Polisi akiandikisha majina ya watu. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema)...
5 Reactions
102 Replies
10K Views
Aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati David Jairo ametangaza kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa Mwigulu Nchemba aliyetia nia kwenye Urais. Chanzo: WAPO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi! Bila shaka mtakuwa mnajua fika zoezi ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari jipya linaendelea kwenye mikoa tofauti mwanza ukiwemo! Nakumekuwa na kelele nyingi kuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimewaona makada Wa chama John Magufuli na Wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu. Swali likanijinia kwanini Lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Zaidi ya nusu ya watu waliotarajiwa kuandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mfumo wa Biometric VotersRegistration -BVR, wilayani Arumeru lililomalizika leo hawakujiandikisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu ningependa kujua hivi first lady ni lazima awe mke halali wa ndoa ya kimkataba? Hilo jina lina masharti yeyote kwa anayelibeba? Je mchumba tu wa kawaida anaweza kuwa first lady? Wenye uelewa...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Ukweli utatuweka huru, leo kuna wanaCCM wanasema eti wanamuenzi baba wa Taifa, S Wassira alimkimbia Nyerere akaishi NCCR Mageuzi aliposikia tu kafariki akarudi. Kwanini Wassira alikuwa haelewani...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom