Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nimewaona makada Wa chama John Magufuli na Wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu. Swali likanijinia kwanini Lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Zaidi ya nusu ya watu waliotarajiwa kuandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mfumo wa Biometric VotersRegistration -BVR, wilayani Arumeru lililomalizika leo hawakujiandikisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu ningependa kujua hivi first lady ni lazima awe mke halali wa ndoa ya kimkataba? Hilo jina lina masharti yeyote kwa anayelibeba? Je mchumba tu wa kawaida anaweza kuwa first lady? Wenye uelewa...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Ukweli utatuweka huru, leo kuna wanaCCM wanasema eti wanamuenzi baba wa Taifa, S Wassira alimkimbia Nyerere akaishi NCCR Mageuzi aliposikia tu kafariki akarudi. Kwanini Wassira alikuwa haelewani...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Eti safari ya matumaini, hivi kweli Tanzania iliyojaa kila aina ya madini na utajiri wa kutisha halafu tunasema safari ya matumaini badala ya vitendo? Watanzania tumechoka na kauli za...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Mdahalo utakaorushwa kesho kuanzia saa 1 hadi saa 4 na Azam Tv unaoandaliwa na CEOrt chini ya kiongozi wao Ally Mufuruki, Dr Slaa amesema wao hawatashiriki Mijadala mpaka watakapomaliza kura za...
18 Reactions
559 Replies
42K Views
Je! umesubiri muda mrefu kwenye foleni kusubiri kujiandikisha. Je ulilazimika kuamka mapema alfajiri au kulala kituoni ili ujiandikishe. Je mashine za BVR,zinaharibika kila mara ukiwa kwenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Homa ya uchaguzi inazidi kupanda siku hadi siku ndani ya vyama vya siasa nchini,si urais si udiwani si ubunge. Shinikizo linapanda siku hadi na rafu za hapa na pale zinaendelea kuonekana. Kilicho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi(Nec))Jaji Lubuva ameyasema hayo alipoongea na waandishi wahabari. Jaji huyo amesisitiza kuwa CHADEMA wanaingilia mchakato wa uandikishaji. My take: Huyu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Mimi kwangu kwa sasa hoja si hii miswaada wala sheria tunazoletewa bali hoja ya msingi kwa sasa tunapaswa kujiuliza ni taarifa na ushauri gani serikali inapata kutoka vyombo vyake vya ulinzi na...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Hofu ya kutojua Rais ajaye atakuweje ndio inasabisha wafanyabiashara kuamua kusaka dola kwa udi na uvumba ili wawe na dola mkononi ili likitokea la kutokea watimke kirahisi.Hivi sasa hata kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kuzunguka katika mikoa yote Tanzania kwa usafiri wa njia ya barabara na kufikia wanachama moja kwa moja ktk maeneo yote ya mjini na vijijini..hatimaye mtia nia wa Urais wa CCM Mh.Steven...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Siasa za hoja
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Africa Day Lecture, 2014. Introduction of the Africa Day Lecturer, Dr Salim Ahmed Salim, by the Patron of the TMF, President Thabo Mbeki. The 5th Thabo Mbeki Foundation Africa Day Lecture, 23...
17 Reactions
102 Replies
14K Views
CCM ni lazima ijivue magamba ili kushinda kwa kishindo Mwaka 2015, ni lazima ifike mahali Lowassa na Chenge waondolewe katika nafasi zozote za uongozi wa chama. Lengo la CCM ni lazima liwe...
19 Reactions
291 Replies
17K Views
Kwanza Kabisa niwatakie Waislamu Wote Mfungo mwema. Kwa Mara ya kwanza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakuja na Mpango mpya Kabisa Wa Operesheni Itakayojulikana kwa kauli Mbiu ya...
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Wadau, Nimetumiwa meseji na rafiki kuwa Bashe anahojiwa Clouds FM kujibu mashambulizi ya Nape juzi...Mwenye access na hiyo redio tafadhali tuambie amejadili kitu gani.Hii redio wengine tulishaipa...
4 Reactions
84 Replies
18K Views
UMASKINI WETU UTATOWEKA KWA VITENDO: Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Viwanda vya kisasa na Ukuaji wa Uchumi wa kisasa maana yake ni matumizi makubwa ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Mwaka 2020, Nchi 5...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewashukuru wanachama waliojitokeza kumdhamini, huku akieleza kuwa anaondoka mkoani Iringa na msemo mpya; “Yeye anatosha na chenji inabaki.” Pinda alitoa kauli hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom