Nchi hii inaweza kuendeshwa bila serikali ya CCM

Nchi hii inaweza kuendeshwa bila serikali ya CCM

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
759
Kumbe inawezekana nchi kujiendesha bila serikali?
SERIKALI YOTE YA CHAMA CHA MAPINDUZI
HAWAPO KAZINI WAPO BUSY NA KUGOMBEA
URAISI!!!!
RAISI YUPO ULAYA ANAAGA Kamkabidhi ofisi
Makamu wa Raisi!!
MAKAMU naye yupo busy anatafuta wadhamini
mikoani.
WAZIRI MKUU yupo busy anatafuta wadhamini
mikoani.
WAZIRI WA UJENZI yupo busy anatafuta wadhamini
mikoani.
WAZIRI MAMBO YA NJE yupo busy anatafuta
wadhamini mikoani.
WAZIRI ASIE NA WIZARA MAALUM yupo busy
anatafuta wadhamini mikoani.
WAZIRI MAMBO YA NDANI yupo busy anatafuta
wadhamini mikoani.
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI yupo busy
anatafuta wadhamini mikoani.
WAZIRI WA KILIMO NA CHAKULA. yupo busy
anatafuta wadhamini mikoani.
WAZIRI WA UCHUKUZI yupo busy anatafuta
wadhamini mikoani.
WAZIRI MALIASILI NA UTALII yupo busy anatafuta
wadhamini mikoani.
Hapo sijagusa manaibu waziri!! HII NCHI
ITAONGOZWA NA NANI HADI OCTOBER???
 
Kumbe inawezekana nchi kujiendesha bila serikali?

SERIKALI YOTE YA CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAPO KAZINI WAPO BUSY NA KUGOMBEA URAISI!!!!

RAISI YUPO ULAYA ANAAGA Kamkabidhi ofisi Makamu wa Raisi!!

MAKAMU naye yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI MKUU yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI WA UJENZI yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI MAMBO YA NJE yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI ASIE NA WIZARA MAALUM yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI MAMBO YA NDANI yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI WA KILIMO NA CHAKULA. yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI WA UCHUKUZI yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

WAZIRI MALIASILI NA UTALII yupo busy anatafuta wadhamini mikoani.

Hapo sijagusa manaibu waziri!!

HII NCHI ITAONGOZWA NA NANI HADI OkTOBa?
 
hii ndio tanzania yetu ya leo ,ni kama tupo yatima tusio na mama wala baba
 
Inaweza kwenda hata pasipokuwa na Bunge! Robotatu hawapo mjengoni na bado miswada inapita tu!!
 
CHAMA CHA MAPINDUZI
HAWAPO KAZINI WAPO BUSY NA KUGOMBEA
URAISI!!!!
RAISI YUPO ULAYA ANAAGA Kamkabidhi ofisi
Makamu wa Raisi!!
MAKAMU naye yupo busy anatafuta wadhamini
mikoani.
WAZIRI MKUUU yupo busy anatfta wadhamini
mikoani.
WAZIRI WA UJENZI yupo busy anatfta wadhamini
mikoani.
WAZIRI MAMBO YA NJE yupo busy anatfta
wadhamini mikoani.
WAZIRI ASIE NA WIZARA MAALUM yupo busy
anatfta wadhamini mikoani.
WAZIRI MAMBO YA NDANI yupo busy anatfta
wadhamini mikoani.
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI yupo busy
anatfta wadhamini mikoani.
WAZIRI WA KILIMO NA CHAKULA. yupo busy
anatfta wadhamini mikoani.
WAZIRI WA UCHUKUZI yupo busy anatfta
wadhamini mikoani.
WAZIRI MALIASILI NA UTALII yupo busy anatfta
wadhamini mikoani.
Hapo sijagusa manaibu waziri!! HII NCHI
ITAONGOZWA NA NANI HADI OCTOBER???
Chanzo:Lissu FB Page
 
Back
Top Bottom