Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Nani aliwaambia mteke watu? Kwa hivyo Kenya na Rwanda ndio wamemwambia Abdul na Mafwele waanzishe jeshi lao lifanye utekaji. Utekaji ulianza baada ya wananchi kuanza kukosoa. Ukosoaji ulitokea...
2 Reactions
1 Replies
166 Views
Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na "mkuu wa majeshi", tukagonga "cheers" na kula kuku, kwa kweli tuliburudika. Ni mtu mwema na muadilifu sana, ana moyo wa huruma na mwenye kutanguliza...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri...
0 Reactions
3 Replies
556 Views
Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi...
3 Reactions
1 Replies
298 Views
Wakuu Msanii Rapcha ametoa taarifa za kupotea kwa ndugu yake Isack Katinde, mwenye umri wa miaka 29, ambaye alitoweka jijini Dodoma tarehe 6 Novemba 2025 majira ya saa tano usiku. Kwa mujibu wa...
3 Reactions
9 Replies
639 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu iliyopangwa kuendelea leo, Jumatatu Novemba 10.2025 imehairishwa hadi Jumatano ya Novemba 12...
0 Reactions
3 Replies
204 Views
Naon CCM wameanza kulegea tayari hatuwezi kufanya maridhiano sasa hivi hii inaitwa TOO LATE MISSION tunahitaji UWAJIBIKAJI wao kwa kujiuzulu mara moja nakuanza mazungumzo baada yao kuwajibika kwa...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Hili ndio swali langu kumuhusu yule Mama wa Magogono anaeishi kwa kodi zetu. Mpaka hapo uzii umekamilika kwani kila kitu kinajulikana. Nyongeza: Kama anaumizwa na matusi, hizo picha kweli...
2 Reactions
3 Replies
225 Views
Rais anategemea kumchukua Zitto Kabwe kuwa miongoni mwa Wabunge wa Viti 10 vya Rais. Ili kutendea haki chama chake na wanachama wa ACT WAZALENDO, anatakiwa atafakari kwa kina. Itakuwa na maana...
1 Reactions
11 Replies
689 Views
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, amesema vurugu katika Taifa lolote hazijawahi kuleta amani, akirejea machafuko...
1 Reactions
9 Replies
438 Views
Takwimu zinaonyesha mwenendo wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka 50, zikionyesha idadi ya wapiga kura, waliopiga kura na mgombea mshindi katika kila mwaka wa uchaguzi. Chanzo...
1 Reactions
5 Replies
478 Views
Mzee Clemence Mwandambo anasema Vijana wengi waliokamatwa wakati wa Maandamano ya Oktoba 29 na kusomewa hatia ya Uhaini ni watoto wa Masikini na hata wao wenyewe ni Masikini na inawezekana...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita emeelezea kuwa Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa...
1 Reactions
6 Replies
217 Views
Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa...
4 Reactions
14 Replies
669 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja. Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa...
20 Reactions
41 Replies
2K Views
Nywinywinywi Nywaaaaaa! Chikichiki Pah Pah Paaah! Hoja hai, haiwi mfu kwa Risasi! Za nini Risasi? Nashambulia nikitokea upande wa winga wa uchumi. Eee bana wee! Wanazuoni wengi mashuhuru kwenye...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Nauliza ni wawekezaji gani na watalii Gani watakuja katika nchi ambayo inazima internet yake wiki nzima na kufanya mauaji ya HALAIKI? Video na picha zimesambaa Dunia nzima, watu wanastaajabu na...
2 Reactions
1 Replies
168 Views
KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha...
4 Reactions
3 Replies
251 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…