Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Hii ya kutufuata watu ambao hatujatoka majumbani na kutuua inatusikitisha Sana. Tunajiuliza siku nyingine ikitokea tufanyeje? Maana hata tukibaki nyumbani tunajua watatufuata tu hivyo hatutakuwa salama.
Serikali hili la kufuata watu majumbani ni kosa kubwa Sana wakati mwingine watu tutaogopa kubaki ndani hivyo itapelekea watakaotoka kuwa wengi zaidi. Wengine watatoka tu Kwa sababu kubaki ndani siyo salama.