Ni mpumbavu pekee tu, anayeweza kukubali Maridhiano

Ni mpumbavu pekee tu, anayeweza kukubali Maridhiano

KEKO JUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2025
Posts
612
Reaction score
1,904
Baada ya maumivu makubwa waliyoyatengeza wenyewe kwa kukusudia kabisa, umeua,umeteka,uwewapa kesi feki wakosoaji wako, umeua demokrasia ,umeiba uchaguzi wazi wazi bila aibu, amani ni matunda ya haki, kulkua na wakati wa kufanya maridhiano kabla ya uchaguzi,

Baada ya kuzima intaneti, mauaji kwa ndugu zetu,na baada ya kujiapisha msituni kwenye kambi ya jeshi bila hata wapiga kura wako ndo unataka maridhiano? Kwa nini hukufanya kabla?

Samuya aelewe kua anadeal na gen z huwezi ukatupumbaza hivyo, yaani unajitekenya mwenyewe unacheka, mnahubiri amani mkiwa mmeshika mitutu ya bunduki.
 
Back
Top Bottom