Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Jana ni nilimuona Nape akisema Ukawa wananunua kadi za Ccm na kuwapa makundi ya watu ili wazichome moto na kuzichana hadharani. Kwanza niseme sijamuelewa Nape Hivi kuna duka la kuuza kadi za...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Uchaguzi mwaka huu ni kati ya uadilifu na ufisadi na ujinga na ujanja. pande zote uadifu na ufisadi wapo wajanja na wajinga. kwenye ufisadi wajanja wanataka kufaidi uchumi wao binafsi, wanataka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
habari ndugu wana Jf jana Waziri wa ujenzi na mgombea wa Ccm alikuwa mkoani morogoro akidai anawashukuru waliomdhamini na kila aliyekuja alipewa kiasi cha shilingi 20,000 na muhusika anacha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari kamili kwa Hisani ya gazeti la Mwananchi
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa Makamba ndie atakayemnadi Magufuli kama kinana alivyomnadi JK-makamba ndie aliyehusika kuandaa ilani ya CCM na akina Wassira. inaaminika kuwa ana uzoefu wa kuwasaidia wagombea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gazeti limeandika mengi kuhusu Mtatiro kukubali makubaliano ya UKAWA kuiachia Chadema jimbo la Segerea.Mwisho limeandika eti Julius ameamua kukaa pembeni na kuacha siasa.Mbinu za baadhi ya...
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007, Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Gazeti la MKAKATI la Aug 7-13/2015 lina ripoti kuwa umepanga kuzunguka nchi nzima kuhakikisha Lowassa haendi ikulu,eti hutakuwa ktk upande wowote wa chama na utatumia gharama zako,huu ni unafiki...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu Nimekuwa nikitafakari sana kauli ya Mh Rais juu ya CCM pale alipotoa kauli ya kuwa CCM lazima itashinda kwa njia yoyote ile tena akasisitiza zaidi kuwa tutawanyoosha, sasa naomba niwaulize...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
MUUNGANO wa vyama vinne vinavyoshirikiana katika Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), umejikuta ukikumbana na upinzani unaoshika kasi nje ya muungano huo, wakati ukikabiliana na sintofahamu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Tangu kumalizika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama kile, mh Kayanza Peter hasikiki, mbaya zaidi chama, vyombo vya habari na hata serikali hakuna anayeeleza aliko! Mim ninauliza yuko wapi...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Hebu mchambueni huyu mtu anaitwa Masaburi. Huyu ni Meya wa Dar es Salaam. Huyu ndiye aliyeuza UDA katika mazingira ya utata. Alikomba mabilioni. Leo anatumia pesa hiyo ya wizi kutaka ubunge jimbo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mgombie Udiwani wa Ccm Kupitia kiti Cha Chama cha Mapinduzi CCM LOBORA NDARIVOI jana saa Tano usiku amepigwa na Wananchi wa kata ya Themi Arusha Mtaa wa Kambarage akipita usiku nyumba kwa nyumba...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi nikiangalia majina mengi walioshinda kura za maoni ccm ni Team Lowasa.Je watakatwa Dodoma ili wasije kumuujumu Magufuri kwenye kura za uraisi?Naomba nijui itakuwaje Dodoma kukwepa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ngoma nzito.Hao mnaowaita nyumbu,malofa wanazidi kuongezeka.Jana Mwanza wameenda cuf,Arumeru,Monduli wamechoma viparata vyenu,Mheza mmeshuhudia mamia wakivitupa kwenye dustbin.Kama hamjui hesabu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF, Leo ni tarehe 4/8/2015 siku ya Jumanne.Ni alfajiri njema kabisa ambapo Taifa litasimama wakati likishuhudia mkutano mkuu wa CHADEMA mshirika wa UKAWA utakaokuwa na kazi moja kubwa ya...
65 Reactions
2K Replies
163K Views
HALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza si shwali baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Charles Lugo (Fashion), na wanachama zaidi ya 100 kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF)...
3 Reactions
79 Replies
10K Views
Ikumbukwe kuwa huyu Mkurugenzi wa Shule za Alayansi Ndg Mageuzi( Bwire) wakati anaazisha hii shule alinyanganya wana Mahina Ardhi bila hata kuwalipa senti yoyote na ilifikia hata Mauaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya kuwasikiliza kwa kina watangaza nia wote wa CCM na hoja zao, watu wamejiongeza na kuwaangalia historia zao za utendaji huko nyuma, dhamira zao kulingana na historia zao na makundi...
8 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom