Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mgombie Udiwani wa Ccm Kupitia kiti Cha Chama cha Mapinduzi CCM LOBORA NDARIVOI jana saa Tano usiku amepigwa na Wananchi wa kata ya Themi Arusha Mtaa wa Kambarage akipita usiku nyumba kwa nyumba akiwa anaomba kura. Mwandishi wa Habari wa Hiltop Fm. Ameripoti leo mdaa wa Kampeni unaanza 22/08/2015