TAKUKURU, Wanahabari, mmulikeni huyu fisadi Masaburi

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
429
115
Hebu mchambueni huyu mtu anaitwa Masaburi. Huyu ni Meya wa Dar es Salaam. Huyu ndiye aliyeuza UDA katika mazingira ya utata. Alikomba mabilioni. Leo anatumia pesa hiyo ya wizi kutaka ubunge jimbo la Ubungo, mkewe anagawa hayo mapesa kusaka ubunge viti maalum, binti yake anasambaza noti kuutafuta ubunge Tarime na tayari amezusha mtafaruku. Pia kuna vijana wake wawili nao wanatumia pesa chafu ya baba yao kutafuta udiwani. Mbona uchafu huu vyombo vya habari makini mnalinyamazia?? Anika uchafu huu.
 
Aliwahi kusema wabunge wanafikiri kwa kutumia makalio! Labda na yeye anataka kuingia bungeni ili akayatumie kufikiri huenda inalipa.
 
Masaburi alikuwa mbeba fuko wa Pinda na sidhani karudisha fedha zile baada ya Pinda kuenguliwa.

Hela hizo ndizo zinamzuzua.
 
Huyu kwenda kwenye jukwaa moja na Mnyika mi naona ameamua kufanya mazoezi ya kupunguza mwili maana jimwili lile du!
 
vijana wa vyuo hapo ubongo wamepiga fedha kama nini... wakati wa mchakato wa kura za maoni kila kikao walikuwa wanapiga si chini ya 20000 kwa kila mmoja na walikuwa zaidi ya 50.. hizi tuhuma ni za kweli nimeshuhudia kwa macho yangu....kama nisingekuwa mwanamabadilikohata me ningepiga.... watu wametoka na pesa ya maana hadi mchakato unamalizika.
 
hebu mchambueni huyu mtu anaitwa masaburi. Huyu ni meya wa dar es salaam. Huyu ndiye aliyeuza uda katika mazingira ya utata. Alikomba mabilioni. Leo anatumia pesa hiyo ya wizi kutaka ubunge jimbo la ubungo, mkewe anagawa hayo mapesa kusaka ubunge viti maalum, binti yake anasambaza noti kuutafuta ubunge tarime na tayari amezusha mtafaruku. Pia kuna vijana wake wawili nao wanatumia pesa chafu ya baba yao kutafuta udiwani. Mbona uchafu huu vyombo vya habari makini mnalinyamazia?? Anika uchafu huu.

takukuru ipi?na wanahabar wap?
 
Yeye kama kampeni manager wa Pinda alipokea nyingi kutoka kwa wakurugenzi wa halmashauri karibu zote nchini. Anatumia masalia ya kampein ya urais
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom