Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kusitisha maandamano yaliyotakiwa kufanyika leo. Source: Radio one habari za saa kwa ufupi na Abdallah Mwaipaya.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
hivi watangazaji na waandishi wa starTv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Watanzania wanaoijitambua wanataka mabadiliko. Chama tawala kinalijua jambo hili pia kinajua nguvu ya Edward Lowassa. Kwa mantiki hiyo, chama tawala kitatumia fedha kiwango chochote kile ili...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Wadau; Katika mwenendo tulipo sasa, taifa lipo katika mapito magumu sana na Vita kuu kati ya Mkono wa Shetani aliyelikandamiza taifa hili na uhai wake, dhidi ya Umma unaohangaika kwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwako Dr. Slaa, Nimekufahamu kwa takribani miaka 6. Ninafahamu baadhi ya tabia zako, unavyovipenda na usivyopenda. Wewe ni mtu mzima sana kwa sasa na kila ufanyacho kinachukuliwa kuwa kimefanywa...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
EDWARD Lowassa, aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na mmoja wa vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka kuwa ndiye atayeshika bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Makala iliyokuwa na kichwa cha habari "Kwa nini Lowassa anaweza kuwa rais" iliwakuna wengi, lakini kama ilivyotarajiwa iliwaudhi wengine na walionyesha hasira zao kwa kutuma ujumbe mchafu. Badala...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Kiongozi wa jumuiya ya wanawake ya CCM ijulikanayo kama UWT-CCM bi Sofia Simba amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi kinawatumia mke wa kigogo mmoja wa chama cha upinzani (jina linahifadhiwa) pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni baada ya Ukawa kujizatiti na kuikabidhi Chadema bendera ya kusimamisha raisi tayari katika miji mbalimbali sherehe za kupamba miji zimeanza hata kampeni bado ,ikiashiria wananchi wameanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza niseme wazi kwamba mimi ni mwanaCHADEMA mtiifu,na nimefurahishwa sana na Lowasa kuingia UKAWA. Tumechoka kuwa wasindikizaji kwa miaka ishirini huu ni wakati wa kuchukua nchi sababu miaka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Awe muwazi kama mikataba iliyoimaliza nchi itafanyiwa kazi. Iptl bado wanalipwa 2.6 million dollars hadi mwezi jana na ijayo
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Sasa hivi uongo na uzushi umekuwa mwingi sana kwenye vyombo na vyanzo vyote vya kihabari. Magamba wanaeneza uongo wa kila aina . Lengo ni kuwachanganya wananchi na mwisho wa siku wasiweze...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Hakika Mungu ni Mwema. Siku zote UKAWA walikuwa wanawahadaa wananchi kuwa wapo kwa maslahi yao. Leo ukweli umedhihiri. CHADEMA wanaenda kwenye uchaguzi Mkuu huku wakimpoteza Katibu Mkuu wao, Dr...
14 Reactions
48 Replies
7K Views
Baada ya 'kuruhusiwa' kufanyika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, chama kimesogeza mbele ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja...
9 Reactions
101 Replies
13K Views
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi. Hivi ni Mbowe huyu huyu ndiye yule...
19 Reactions
229 Replies
17K Views
katika sintofahamu imejitokeza pia manispaa ya sumbawanga ktk uchaguz wa wabunge na madiwan kula za maoni baada ya mgombea mmoja na wananchi kufanya fujo ofisi za ccm wilaya baada ya kukatwa jina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kumaliza party ya pili ya movie yetu ya kwanza ikiwa ya DKT na ya pili hii ya PROF tunasubiri ya tatu ya ugawaji wa majimbo...kutokana na kauli iliyotolewa na mwenyekiti MBOWE kuwa mtu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati meli ya matumaini imeanza safari imeng'oa nanga wasafiri wamejiandaa kufika nchi mpya ya maisha mapya yenye matumaini nahodha hajui aendako mzozo unaanza kati yake na wasafiri,wakati yeye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Anatory Aman (Mwenye miwani) Taarifa za hivi punde zilizoufkia mtandao huu ni kuwa kikao cha Halmashauri kuu ya Mkoa wa Kagera kimewaengua kugombea kuwa wagombea nafasi za udiwani Meya wa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Vyombo vya habari vina viko hapa nchi kisheria na vinabidi vizifuate pamoja na maadili ya uandishi wa habari. Watu wengi wanalalamika kuhusu hii redio Kasibante iliyopo Manispaa ya Bukoba. Redio...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom