Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, Anna Makete, maarufu 'Mama Makete' amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Its Official, Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi...
56 Reactions
139 Replies
7K Views
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki. Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya...
20 Reactions
75 Replies
3K Views
Mpaka hii leo nashindwa kufanya shughuli zangu, nashindwa kula vizuri, nashindwa karibu kufanya mambo yote kwa sababu ya mambo yanayoendelea katika nchi yangu Tanzania. Nina maumivu makubwa mno...
3 Reactions
1 Replies
275 Views
MIAKA hiyo ya 2000, uliibuka mgogoro mkubwa sana kati ya Chama cha CUF na Inspekta jenerali wa jeshi la Polisi, Omar Mahita wakati huo chama cha CUF kilikuwa ni chama kikubwa sana cha pili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu nikiuliza, Jee mnajua Jeshi la Polisi linaweza kushitakiwa mahakamani kwa kusababisha vifo vya...
140 Reactions
793 Replies
99K Views
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa. Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na...
3 Reactions
3 Replies
191 Views
Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya...
0 Reactions
16 Replies
901 Views
Na. M .M. Mwanakijiji Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana. Kwa uapnde wa serikali best case...
41 Reactions
114 Replies
4K Views
Kuna Wimbi la Vijana wengi Wenye ushawishi Mitandaoni kuomba hifadhi nje ya nchi na wengi wao wameshaondoka na wapo huko nje ya nchi aijulikani waliondoka kwa njia ipi, na serikali ilikuja kustuka...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena...
4 Reactions
9 Replies
308 Views
Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika. Iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu...
10 Reactions
103 Replies
8K Views
Historia inajirudia na hakuna kipya chini ya jua; Ukiona jambo jipya basi ni Historia ambayo wewe huifahamu. Sasa kuepuka na kuingia mitegoni taweka tu mifano minne ambapo mamlaka ilitumia...
3 Reactions
19 Replies
564 Views
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Katika hotuba ya kufungua bunge siku ya Jana tarehe 14.11.2025 mhe.Rais amezungumzia kuhusu kuanzishwa kwa wazira maalumu ya vijana ili kutatua changamoto za vijana ambao ni zaidi ya 60% ya watu...
1 Reactions
21 Replies
566 Views
Katika Ibada Kuu ya Pasaka ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Mwenge, Dar-Es-Salaam; wakati wa Neno la Pasaka 20.4.2014, lenye kichwa, "JE, KUIDAI TANGANYIKA NI HALALI KATIKA MPANGO...
9 Reactions
63 Replies
19K Views
Kuna kila uwezekano kwamba internet itazimwa tena December 09, ikajakuwashwa hata baada ya wiki.
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete...
2 Reactions
61 Replies
1K Views
Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewaonya maafisa usafirishaji (Boda boda) likiwataka kuacha kufanya vitu kwa mkumbo kwa kuwa kufanya jambo Kwa mkumbo kunanaweza kusababisha madhara kama...
2 Reactions
6 Replies
415 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…