Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri...
0 Reactions
20 Replies
877 Views
kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa...
4 Reactions
3 Replies
216 Views
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
0 Reactions
32 Replies
972 Views
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha...
4 Reactions
17 Replies
656 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa...
0 Reactions
15 Replies
468 Views
Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali...
2 Reactions
18 Replies
681 Views
Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari...
8 Reactions
8 Replies
312 Views
Huyu binti kuna namna kazungumza kueleza kwanini nchi yetu kuna sehemu tulifikia kutawaliwa kijinga na mafisadi. Hususani vijana =============== Tuwaraumu wazazi wetu hawakutufunza kuipenda...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Inasemekana kuwa "inawezekana" matamshi ya kisiasa ya Askofu huyo ambayo amekuwa akiyatoa mara kwa mara yameleta shaka juu ya uzalendo na hatimaye uraia wake. Kwa ambao hawamjui na matamshi yake...
15 Reactions
427 Replies
102K Views
Ingawa maisha yanaendelea kama kawaida, Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania unatoa pole zake kwa watanzania. Tunaungana na watanzania kuomba uponyaji na amani ya kudumu ambayo hupatikana tu...
2 Reactions
4 Replies
198 Views
Mbunge mpya wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando maarufu Baba Levo, ametangaza mpango wa kugawa meza 500 kwa wajasiriamali wadogo ambapo Meza hizo zitakabidhiwa moja kwa moja kwa wafanyabiashara wa...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali...
5 Reactions
24 Replies
837 Views
Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Wakuu, Kama jinsi tangazo lile la uteuzi linavyosema, Rais ameteua Tume ya kuchuguza Uvunjifu wa Amani uliotokea kabla na baada ya uchaguzi na sio mauaji yaliyofanywa na Polisi! Kwa maana...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Back
Top Bottom