Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya...
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa...
Wakuu,
Nimeitoa sehemu...
Curfew iliyotangazwa na IGP na kuwa enforced sehemu kadhaa ilisababisha malalamiko kuwa baadhi ya wananchi wasiokuwa na hatia waliumizwa na vyombo vya dola Oktoba 29 na...
Kila siku tunasema hapa sisi waislamu hatuna chombo cha kutusimamia,inakuwaje Mufti wa Zanzibar ateuliwe na Raisi?
Tena serikali inamlipa mshahara na kuihudumia ofisini yake..
Mbona...
Tuweke ushabiki pembeni.
Wapo wanasiasa wanaotaka kukuza umaarufu wao au kupata credits kwa matukio . Hawa mara zote huangalia upande mmoja tu.
Wapo viongozi wa dini ambao waliapa kuwa Samia...
Ujumbe wa TEC ulilenga kilichopelekea vifo vya watu watoto wadogo waliokua wanadai haki zao kikatiba ujumbe wa TEC haukulenga dini yoyote wala kabila lolote bali ni ujumbe kwa jamii na Serikali...
Nadhani Tangu Mfumo wa Vyama vingi, Mwaka 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iimepitia kipindi ambacho kitabaki kama kumbukumbu na Matukio Wanafunzi watatumia Kujibu Maswali ya Mitihani...
Vita imekuwa kali sana udini unataka kuichafua nchi kijinga sana. Nyie Mashekh acheni ushamba wa kidini jengeni hoja na sio kuingia katika vita vya kidini katika kutetea maslai ya watu wachache...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kilichofanyika Ikulu Chamwino...
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa...
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!
Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.
Machawa wapo na dharau zako ndizo...
Sijui mpaka lini na kwanini. Sijui kwanini CHADEMA hadi leo hii hawajaanzisha maandamano ya kumshinikiza Mwema aondoke au aondolewe.
Hata Bungeni hakunyoshewa kidole yeye mwenyewe na kutaka...
Kitendo cha IGP Said Mwema kuruhusu matumizi makubwa ya nguvu zidi ya maandamano ya amani mjini Arusha hakiwezi kupita bila kulaaniwa na sisi wanamageuzi. CHADEMA alikuwa na kibali cha kufanya...
Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio wazuie maandamano?
Ndugu zetu wamekufa kama kuku October 29 alafu...
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025...
Punguzeni kiherehere kwakweli mnatia kichefuchefu sana na wengi wenu hata mnayo yaongea na mpangilio wenu wa hoja una dhihirisha kabisa vichwani ni watupu kabisa tena weupe peee!
Hoja za TEC...
Ndugu wana jamvi na hasa vijana kama mimi Gen Z. Najua CCM inafanya kila liwezalo kuzima moto wa Gen Z. Ndo maana unaona wanatumia baadhi ya waislamu na baadhi ya wakiristo wanaoweza...
Kwa wale wote wanaopenda kufuata mkumbo wa maandamano naomba niwakumbushe tu baada ya wao kufanikisha takwa lao la kisiasa utasahaulika kama ulijitoa uhai wako.
Mwaka 2007 baada ya serikali ya...
Kuna wale wanafunzi ambao wataalam wa kumeza ni rahisi kuwafundisha chochote
Halafu kuna wale wenye akili timamu sasa, hapo shida ipo
Kwa siku 3 nikiwa nafundisha topic ya muungano kuna...