Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mwananchi, Bakari Machumu, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu. Tido Mhando ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano. Lazaro...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu Oct.29 Mwaka 2000 Mkapa akiwa anatetea mhula wa pili wa urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zanzibar ccm walimsimamisha Aman Abeid Karume akichuana na Maalim Seif wa CUF...
13 Reactions
13 Replies
698 Views
  • Featured
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa...
10 Reactions
218 Replies
10K Views
Kazi mbaya si mchezo mwema. Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume! Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari. Tunataka tume ya...
10 Reactions
14 Replies
469 Views
Kwa jinsi ambavyo watanzania wanauguza majeraha ya kupotelewa wapendwa wao, ambao waliuawa kikatili siku kadhaa zilizopita, naiona hasira ya waliowengi kujitokeza Dec9 kulipa kisasi, Binafsi...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na...
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika...
9 Reactions
6 Replies
357 Views
Moja ya sababu za KUKOSA misaada ni UWEPO wake gerezani, shuoazeni shingo mkidai tukaze mikanda NAWAMBIA hamtoboi. Akiwa gerezani ukonga kauli zake za kitawaka, tutakinukisha hatumtaki...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Habari zenu wakuu. Samia Leo kaagiza kauli za wana siasa zichunguzwe huku akinukuu baadhi ya kauli za wapinzani wake,na kusahau kuitisha uchunguzi wa kauli zake wakati wa kampeni. Mimi naamini...
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18...
19 Reactions
24 Replies
610 Views
Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa...
9 Reactions
11 Replies
511 Views
Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima. Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni...
3 Reactions
2 Replies
176 Views
Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
3 Reactions
6 Replies
280 Views
Katika mfumo wa haki, majaji wetu wamepewa hadhi ya juu mno yaani "a stature that borders on judicial sanctity. Wanavaa mavazi ya kipekee, wanaketi juu ya viti vilivyoinuliwa, na wanatoa maamuzi...
5 Reactions
10 Replies
458 Views
Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa. Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
222 Views
Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana! Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu...
6 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi. Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha...
5 Reactions
111 Replies
2K Views
Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi.
5 Reactions
15 Replies
441 Views
Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
0 Reactions
18 Replies
775 Views
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, OFM Cap ametoa habari njema kwa Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na wote wenye mapenzi mema kuwa afya ya Katibu...
16 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom