Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 27, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Sijui mpaka lini na kwanini. Sijui kwanini CDM hadi leo hii hawajaanzisha maandamano ya kumshinikiza Mwema aondoke au aondolewe.

  Hata Bungeni hakunyoshewa kidole yeye mwenyewe na kutaka aondoke.Sijui mpaka nani wa CDM auawe ndio watajua kuwa Mwema na Chagonja ni hatari kwa demokrasia!!!

  Kutokana na rekodi zao wenyewe inaonekana wamejifanya kuwa ni maadui wa kudumu wa haki za kiraia na haki za binadamu.

  Wazo kuwa wananchi wana haki ya kuandamana kuipinga serikali yao au uongozi wa walio madarakani halijawaingia kabisa kichwani!

  Wako kama maafisa wa kizungu wa wakati wa mkoloni ambao walijaribu kuzima maandamano yaliyoongozwa na Mwalimu Nyerere au wale waliowafunga kina Makange! Hawana tofauti!


   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nani kamuolea mwenzake?
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JK kaoa kwa mwema
   
 4. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naye the hague inamsubiri
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapana. nasikia mtalaka wa mwema ndiye nduguye JK.
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  A long way to democracy,inabidi iwe jino kwa jino,polisi wanaua na raia tunaua polisi ndo mwema analazmisha iwe hvyo
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mimi nimeshalia sana hapa kuwa IGP Mwema ni janga la taifa. Katika watu ambao sioni wanafanya nini katika uongozi wao ni IGP Mwema na Dr. Hosea
   
 8. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Maslahi binafsi mbele
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia dada yake JK ndo kaolewa na mwema
  Naona ili ni la kulikomalia maana wanazani tuko kwenye zama za monopartism
   
 10. G

  George Smiley JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  CHADEMA nao si ni chama cha familia na wameoleana mle au?
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni wakati wa watanzania kuchukua hatua, mahuaji ya namna hii ni laana kwa Taifa, Taifa linalotegemea kuendelea au kufanikiwa huku linamwaga damu za wanyonge ni hatari. Hakika tunapokwenda sio pazuri, kama hali ikiendelea namna hii nadhani nchi itasambaratika. Sugu alizungumzia hili siku moja wakati anachangi hotuba ya mambo ya ndani, kuwa jeshi letu limekuwa kama la wakoloni, hivi ni lini tabia hii itakoma? inauma na kuhuzunisha sana.
   
 12. C

  CHOMA Senior Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo ni utii wa sheria bila shuruti.
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hapo hujamuweka Paul Chagonja, hakyanani huyu ndo balaa kuliko wote. i have never seen this ZUZU speaking friendly even a single day. this ZUZU is very harsh, he thinks everything need be obeyed, no negotiation, infact he is full dictator, real hate him.


  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
   
 14. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hapo hujamuweka Paul Chagonja, hakyanani huyu mjinga ndo balaa kuliko wote. i have never seen this ZUZU speaking friendly even a single day. this ZUZU is very harsh, he thinks everything need to be obeyed, no negotiation, infact he is a full dictator, i real hate him.


  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  yeah na wao pia wameunda serikali na ndio wanafanya uteuzi wa wakuu wa vyombo vyao mbalimbali vya dola.
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nashukuru MM kwa hekima yako, maana ningekuwa mie ningekuwa nimekwisha muasi MUNGU kwa matusi.
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwema aliingia na focus kubwa kwelikweli ya kufanya/tenda kazi kwa haki sambamba na kuboresha jeshi lenyewe lkn madudu ya wanasiasa waliomteua yamembadili kabisa
   
 18. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sioni tofauti yoyote kati ya Mwema na Hitler
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lazima watambue nchi hii si mali ya ccm peke yao,na watu wana demokrasia ya kupinga chochote kulingana na utashi wao.
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuwa familia moja sio kosa na wala sidhani kama watu wana-object hilo, tatizo linakuja kwenye uwajibikaji na kama undugu/ukaribu unaonekana kuwa kinga dhidi ya maovu. Ni hivi majuzi rais wa Liberia amemsimamisha mwanae kazi. Can we do that here?
   
Loading...