Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na...
5 Reactions
7 Replies
318 Views
Ndugu Samia, Nchimbi na ndugu Mwigulu hawana uhalali wowote wa kuweka mtu lock down kuelekea #D9, sisi hatupo chini ya mtu yoyote. Sisi hatuna serikali kwa mujibu wa katiba, serikali lazima...
12 Reactions
27 Replies
788 Views
Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary. Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba. Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
12 Reactions
96 Replies
3K Views
AMSTERDAM & PARTNERS LLP YAONYWA KUHUSU UKATILI NA MAUAJI TANZANIA; YATOA WITO WA HATUA ZA KIMATAIFA London, Novemba 17, 2025 – Amsterdam & Partners LLP, ikifanya kazi kama mawakili wa kimataifa...
4 Reactions
4 Replies
378 Views
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa...
1 Reactions
14 Replies
593 Views
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kauli mbali mbali za watetezi wa Uamuzi wa baàdhi yetu kutetea Sirikali iliyopi na uhalali wao, wa kufanya uchunguzi na mengineyo ili waendele kuwa madarakani na kuficha ukweli kwa...
3 Reactions
7 Replies
345 Views
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi) MSIMAMO WA CUF JUU YA TUME YA UCHUNGUZI ILIYOTEULIWA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN: CUF- Chama Cha Wananchi kulikuwa Chama na Taasisi ya kwanza...
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Niongee ukweli kama Taifa tunataka kuinusuru Tanzania huyu mama anaitaji otoke,maana amekosa mvuto wa kuogopwa anadharauliwa kalibu na kita mtu
2 Reactions
5 Replies
314 Views
Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi? kila mtu ni kambale anafanya anachotaka! nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia, Kuna chizi mmoja...
3 Reactions
23 Replies
830 Views
Limeibuka kundi la watu kwenye mitandao ya kijamii. Sijui wanasubuliwa na ushamba wa mitandao au kinachowasumbua ni kutokuelewa Serikali ni kitu gani. Unapoitishia Serikali unamtisha nani...
2 Reactions
84 Replies
2K Views
Enzi za Kamanda wa Anga. Sasa hivi tungekua tunawaza mengine. Huku akichekelea kibunda
3 Reactions
11 Replies
389 Views
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya...
0 Reactions
6 Replies
346 Views
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini...
2 Reactions
28 Replies
867 Views
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Katika vita vya siasa kwa sasa ni vita kati ya wananchi na CCM Katika vita hivi tasisi kazaa za kidini zinatoa maoni yao juu ya ili tumeona baadhi ya wakristo wakiwa upande wa serekali na baadhi...
13 Reactions
37 Replies
945 Views
Gen z wana trend wamekubaliana uelekeo ni ikulu na bungeni msasahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9.
4 Reactions
22 Replies
825 Views
Moja ya wosia maarufu zaidi wa baba wa taifa kwa vijana unaoishi hadi leo. Nyerere, "Tunataka vijana waasi, jeuri na mashujaa dhidi ya mifumo isiyoendana na matarajio ya watanzania." kwa mauwaji...
3 Reactions
3 Replies
192 Views
Kutokana na vuguvugu la maandamano naona Kuna wapuuzi wameanza kuhamisha mada ili kuchochea udini. Kitakachofanyika ni kuanza kuwadhuru baadhi viongozi ili kujustify uovu wao tupigane Kisha wao...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba...
8 Reactions
19 Replies
640 Views
Back
Top Bottom